path sentence duration[ms] duration_seconds common_voice_sw_35109515.mp3 Pua yake ina kamasi 5184 5.184 common_voice_sw_36251577.mp3 Bhalaga Bhatimba Bhayango Bhashora na mengineyo 6300 6.3 common_voice_sw_37647595.mp3 Alisema jambo muhimu ni kuchukua msimamo thabiti na kuzuia manyanyaso dhidi ya raia 8316 8.316 common_voice_sw_35539694.mp3 Ukeketaji ni hatia. 3168 3.168 common_voice_sw_35126940.mp3 kumanisha kwamba wanajaribu kuona ni lipi ambalo waanalolifanya 6300 6.3 common_voice_sw_36105985.mp3 huu ni lazima uzingatie ufahamu ama maarifa utakayoyatoa kwa jamii Lakini zaidi naomba tujifunze 8496 8.496 common_voice_sw_37664606.mp3 Tando za kamasi mdomoni na machoni kugeuka nyekundu 8100 8.1 common_voice_sw_37664905.mp3 Wakati mchanganyiko unachemka 4176 4.176 common_voice_sw_35146416.mp3 Ameenda msalani. 7380 7.38 common_voice_sw_35851431.mp3 watakuwa wakisaidia kuwaleta wengi 2988 2.988 common_voice_sw_36251944.mp3 Ameshiba Sana. 3348 3.348 common_voice_sw_36554934.mp3 hadi sasa huenda idadi kubwa zaidi ya watu 6228 6.228 common_voice_sw_35170890.mp3 pia inazuiliwa na mafundisho ya Uislamu lakini wakati mwingine huibuka 5580 5.58 common_voice_sw_37664149.mp3 Uvunaji wa viazi lishe unaweza kufanyika kwa mara moja 5688 5.688 common_voice_sw_37663428.mp3 Katika misimu yote ya mwaka 3168 3.168 common_voice_sw_35250585.mp3 Waturuki wanaona sheria ya Waislamu ambayo ni tofauti 5040 5.04 common_voice_sw_37214106.mp3 Ramani ya safari inayoonyesha maporomoko ya maji na 4536 4.536 common_voice_sw_35896094.mp3 programu tayari ina wasikilizaji wengi sana 3168 3.168 common_voice_sw_35989728.mp3 Dadake amesafiri kwenda dubai 3348 3.348 common_voice_sw_37665282.mp3 kausha viazi lishe vyako 3780 3.78 common_voice_sw_35250213.mp3 kwa hiyo kwa jumla yake napenda kusema kwa kweli tunaendelea vizuri mpaka sasa hakujatokea 10440 10.44 common_voice_sw_36465093.mp3 yokuwa ikielekea tanzania ni kushukuru sana msikilizaji kwa kushikiliza 9288 9.288 common_voice_sw_37222703.mp3 saa hii imeharibika kabisa. 2988 2.988 common_voice_sw_35851388.mp3 Ninajua ninayemuamini hataniangusha. 3240 3.24 common_voice_sw_38681150.mp3 Napenda kuuza mpango mwaka kesho 4536 4.536 common_voice_sw_37087312.mp3 kupitia wafanyabiashara wa Bahari ya Shamu Wakati alipotawala 5148 5.148 common_voice_sw_34991446.mp3 kutumia nishati nyingi kucheza kwenye milima ya 4500 4.5 common_voice_sw_38766567.mp3 hadi wiki mbili 3060 3.06 common_voice_sw_35151116.mp3 waliomba kuondolewa kwa makundi ya kijamii na kisiasa 3708 3.708 common_voice_sw_35990309.mp3 elfu kumi mia tisa arobaini na mbili ni eneo la maji 4968 4.968 common_voice_sw_34991818.mp3 ndolewa kwa raia wa nchi ama mataifa ya nje 5256 5.256 common_voice_sw_29758807.mp3 Aliuawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yake. 4860 4.86 common_voice_sw_38201947.mp3 Malengo makuu ya Idhaa ya kiswahili ya Sauti ya Amerika ni kuhakikisha usawa wa jinsia kwenye matangazo kwa kuongeza sauti za wanawake na kuwashirikisha vijana 9936 9.936 common_voice_sw_38039006.mp3 Ambazo ni sawa dola sifuri pointi moja nne hadi shilingi elfu mbili mia nane sitini na moja za Tanzania. 9468 9.468 common_voice_sw_37092296.mp3 Mambo yangu ni mazito 2340 2.34 common_voice_sw_37802730.mp3 Dalili ya ugonjwa wa ndama kuhara ni macho ya mnyama kuingia ndani 6696 6.696 common_voice_sw_34994040.mp3 Ukiingia kwenye nyumba nyumba ya kibinafsi kwa 5040 5.04 common_voice_sw_35109576.mp3 ligi ni ndefu naa 5868 5.868 common_voice_sw_35154962.mp3 Maneno yake yanakera moyo 3816 3.816 common_voice_sw_37222541.mp3 Utafiti unaonyesha kuwa pombe inadhuru afya 4356 4.356 common_voice_sw_34991659.mp3 wakati wa kuzurura huanza kwa watu hawa 3960 3.96 common_voice_sw_34991955.mp3 tanzania walipinga kitendo alikichofanya raisi wa malawi 5868 5.868 common_voice_sw_35896386.mp3 ambapo kati yao wanaume ni milioni mbili 4248 4.248 common_voice_sw_35109368.mp3 wakati mwengine anaelekea kanistan 8532 8.532 common_voice_sw_37860685.mp3 Dalili ya ugonjwa wa miguu na midomo ni mnyama kutokwa na ute mrefu mdomoni 7488 7.488 common_voice_sw_35154764.mp3 wa kulikabili janga hilo kama uhalifu unahitaji kupanuliwa na kujumuisha 6768 6.768 common_voice_sw_36379097.mp3 Albamu hio iliyokuwa ikiitwa The Mac Mooger 4968 4.968 common_voice_sw_36299791.mp3 Yu nami moyoni mwangu. 4356 4.356 common_voice_sw_37224314.mp3 Jane alipewa onyo. 2448 2.448 common_voice_sw_34992097.mp3 wanaanza kuamka Watu wana kiu ya uongozi unaofaa na hawajaupata Wale wanaodhani kuwa ni 8028 8.028 common_voice_sw_36365171.mp3 Rehema, leo nimesoma kazi yako sura ya kwanza mpaka ya tatu. 7704 7.704 common_voice_sw_35126703.mp3 Chakula kilikuwa kingi 3384 3.384 common_voice_sw_36299931.mp3 uwepo wake unategemea umepa 8208 8.208 common_voice_sw_37214348.mp3 walipokaribia George alimuonyesha Jacob nyumba anayoishi Magreth na Jacob alipoiona akageuza gari na kurudi 9900 9.9 common_voice_sw_29294229.mp3 Alijenga hospitali na shule kadhaa. 5004 5.004 common_voice_sw_37215850.mp3 mengi baadhi yake ni Al Rahman kwa Kiarabu Mwenye rehema Al Nur 7848 7.848 common_voice_sw_29498053.mp3 Wanatokea Madagaska tu. 3996 3.996 common_voice_sw_36364313.mp3 Chaka kiliundwa mnamo mwaka elfumoja miatisa sabini na nane 3888 3.888 common_voice_sw_37665430.mp3 Chakula chako kipo tayari kwa kuliwa 4500 4.5 common_voice_sw_37217598.mp3 mafanikio ya china na dunia kwa ujumla yatasaidia kuwepo kwa siasa 5040 5.04 common_voice_sw_38105264.mp3 majimaji hayo huanza kuwa mazito katika hatua za baadaye 2448 2.448 common_voice_sw_34990881.mp3 bwana amos yusuf bwana amos yusufu karibu sana katika 8640 8.64 common_voice_sw_37806805.mp3 nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo 4140 4.14 common_voice_sw_37217540.mp3 Binadamu ana nywele nyingi sana 3636 3.636 common_voice_sw_34991808.mp3 wa elfu mbili na kumi na moja elfu mbili na kumi na mbili 5220 5.22 common_voice_sw_37215745.mp3 Mchezo uliendelea kupanuka na kuendeshwa na wenyeji katika klabu zilizoundwa 7416 7.416 common_voice_sw_35774623.mp3 Taasisi nzuri Kuanzisha kwa nyumba ya vipaji Tanzania Marehemu Ruge Mutahaba alidai kwa kuanzishwa 7560 7.56 common_voice_sw_38105234.mp3 na wanapendelea suala hilo lipelekwe ngazi ya juu zaidi 5220 5.22 common_voice_sw_35989428.mp3 chagua besi chache na utafikia kuona zaidi 6156 6.156 common_voice_sw_35167570.mp3 hatima amepuuzilia mbali ama amekanusha tuhuma ya kwamba 6696 6.696 common_voice_sw_35169135.mp3 Pia kuna kizazi cha Jin ambacho kiltawala kuanzia miaka ya 5040 5.04 common_voice_sw_35099079.mp3 Mpeni heshima. 3132 3.132 common_voice_sw_38783583.mp3 Serikali ya Rwanda imetoa taarifa Jumanne 6120 6.12 common_voice_sw_35250646.mp3 etangaza kupata ushingi wa aslimia themanini 5760 5.76 common_voice_sw_37216083.mp3 Baada ya kumshusha George mlevi Jacob alianza safari ya kuelekea kwa magreth 6156 6.156 common_voice_sw_34995178.mp3 mbichi na kupikiwa vyakula mbalimbali pamoja na nyama ya ngombe kondoo au mbuzi Mara 7416 7.416 common_voice_sw_37098908.mp3 bila kuku kuu kuu kuingia kwa 3456 3.456 common_voice_sw_37216382.mp3 pia Kwetu kama nchi ujio wa Obama unaacha 5400 5.4 common_voice_sw_37219337.mp3 Wamasai hufuga ngombe mbuzi na kondoo pamoja na kondoo mwekundu vilevile ngombe waliothaminiwa zaidi 8856 8.856 common_voice_sw_37224973.mp3 wakati wa upanuzi wa ukoloni wa Ujerumani mwishoni mwa karne ya kumi na tisa 7488 7.488 common_voice_sw_34993294.mp3 Aliamua kuwacha pombe milele 3816 3.816 common_voice_sw_38106307.mp3 wadudu mbalimbali kama vile mbawa kavu fukusi na vipepeo hushambulia viazi lishe 6876 6.876 common_voice_sw_37084013.mp3 imesema uamuzi wa nchi ya ireland iombe msaada wa kujidhatiti katika bajeti yake 6480 6.48 common_voice_sw_35991375.mp3 halafu iwe ni msimu wa mvua patakuwa 4752 4.752 common_voice_sw_30586899.mp3 Alikuwa Mkristo aliyebatizwa kwa kufuata sheria zote za kanisa 6516 6.516 common_voice_sw_34993424.mp3 benki kuu ya tanzania inahakikisha kuna usawa wa bei 5292 5.292 common_voice_sw_35988999.mp3 na mara nyingi haya yanatokea wakati tayari 4176 4.176 common_voice_sw_34995519.mp3 Atakuchukua hivyo ulivyo akufanye kiumbe kipya. 5040 5.04 common_voice_sw_35154999.mp3 Na Magharibi mwa Ulaya pia pande nyingine za dunia 4176 4.176 common_voice_sw_37806787.mp3 Kuathirika kwa mnyama hali inapokuwa mbaya zaidi 5220 5.22 common_voice_sw_34993363.mp3 Diplomasia yake ikawa ya kutazama ndani zaidi ya nchi yake 4896 4.896 common_voice_sw_34992746.mp3 ndani ya ile kazi ya madini ya tatu ni kwamba kuna pia 7020 7.02 common_voice_sw_38042896.mp3 kumi na mbili hadi shilingi elfu mbili mia sita tisini na mbili za Tanzania 6480 6.48 common_voice_sw_34991195.mp3 sioni kama kuna uwezekano wa jeshi lenyewe 4068 4.068 common_voice_sw_34993456.mp3 mkurugenzi wa wizara ya afya nchini haiti gabriel timothy amekiri 6048 6.048 common_voice_sw_34992030.mp3 Acha kuvuta sigara 3276 3.276 common_voice_sw_36367947.mp3 Kufuatana na mamake Amin Assa alikuwa aliyetibu watu kwa mitishamba Amin alisoma miaka kadhaa 8208 8.208 common_voice_sw_34994965.mp3 na Vunjo Mangi Meli huyu alikuwa mangi wa waoldmoshi ambaye alipigana na wajerumani na 6948 6.948 common_voice_sw_35774915.mp3 ina mchango mkubwa katika kukuza demokrasia ya nchi 6048 6.048 common_voice_sw_37093460.mp3 kwa hilo imekuwa changamoto kubwa sana hilo la kwanza 4716 4.716 common_voice_sw_35774396.mp3 mahakama ya kimataifa ya haki isingeweza kufanya chocho bila idhini yao 6300 6.3 common_voice_sw_35895496.mp3 yeye ni amiri jeshi mkuu na msimamizi mkuu wa huduma 5148 5.148 common_voice_sw_37084930.mp3 ka kujua mambo ya edwin habari za jioni 2988 2.988 common_voice_sw_36005831.mp3 uniform maalumu sababu ya wingi wa medals alizojipa 5400 5.4 common_voice_sw_37663799.mp3 Matumizi ya viazi lishe 3960 3.96 common_voice_sw_35099077.mp3 Sitoki hapa usinibariki. 4824 4.824 common_voice_sw_35161978.mp3 Pikeni wali. 2268 2.268 common_voice_sw_38300684.mp3 Katika kipindi cha muongo mmoja kando na operesheni ya kulinda Amani ya Umoja wa mataifa. 5400 5.4 common_voice_sw_36441638.mp3 Pijini ni lugha inayozaliwa kutokana na mchanganyo wa lugha zaidi ya moja. 6228 6.228 common_voice_sw_37093842.mp3 Kazi ya kila siku bila kupumzika haina faida 3708 3.708 common_voice_sw_34994970.mp3 walikuwa wamejiandikisha kwa ajili ya kusajili zaidi simu 5256 5.256 common_voice_sw_34993014.mp3 fikiri watu wachache kwa sekta ama kwa nchi ambayo inaanza 4968 4.968 common_voice_sw_35165589.mp3 kuna wazee wengine wamechoka lakini wanar 6300 6.3 common_voice_sw_30630801.mp3 Wakati mmoja bara zima la Afrika nyakati hizo 5436 5.436 common_voice_sw_37663505.mp3 Thamani ya viazi lishe 3528 3.528 common_voice_sw_36441659.mp3 Aliogopa kuenda msikitini 3456 3.456 common_voice_sw_36374720.mp3 Uwe wa kukuabudu baba yangu. 3960 3.96 common_voice_sw_34991545.mp3 Mwaka wa elfu moja mia tisa sabini na mbili 3960 3.96 common_voice_sw_35170128.mp3 kuna taratibu za kufungua redio za masafa 4680 4.68 common_voice_sw_37664640.mp3 viazi vikiachwa sana ardhini vitakomaa sana na kuwa na nyuzi vipindi vinapikwa au kuchomwa 7956 7.956 common_voice_sw_37224233.mp3 Mwalimu wangu ni sauti ya jamii. 2736 2.736 common_voice_sw_37663045.mp3 Weka pembeni viazi lishe vyako tayari kwa kupika 5400 5.4 common_voice_sw_37663577.mp3 andaa jagi lakuwekea juisi 4896 4.896 common_voice_sw_36027131.mp3 Mazao ya sokoni hulimwa hasa karafuu na jamii ya viungo 5616 5.616 common_voice_sw_30635051.mp3 nyerere alichaguliwa kuwa raisi wa tanzania 6912 6.912 common_voice_sw_35991273.mp3 hii elimu tunaiendeleza aje kwa sababu vijana 4968 4.968 common_voice_sw_35988560.mp3 Mwanaume alipoona hivyo alimsogelea mkewe na kumkumbatia 6804 6.804 common_voice_sw_37213962.mp3 Shughuli imenoga. 2808 2.808 common_voice_sw_37215315.mp3 Lugha rasmi ya taifa hilo ni Kichina cha Mandarin 4356 4.356 common_voice_sw_34994066.mp3 kati ya hayo hayajui chochote katika maisha 5040 5.04 common_voice_sw_35189329.mp3 Ameingia sasa hivi 1980 1.98 common_voice_sw_34992977.mp3 tangu mgodi huo ulipolipuka siku ya ijumaa 5724 5.724 common_voice_sw_35684492.mp3 jacob zuma alihukumu kifungo cha miezi kumi na tano 7848 7.848 common_voice_sw_28259347.mp3 Basi, ndani ya Kanisa la watu Mungu anaishi na kufanya kazi. 7488 7.488 common_voice_sw_35895492.mp3 moja mwaka elfu mbili na kumi na tano aliteuliwa na rais John Magufuli kuwa 7848 7.848 common_voice_sw_38039017.mp3 Wanawake hawana fursa ya kupata fedha sawa kwa kulipa ada na kampeni 6912 6.912 common_voice_sw_37228252.mp3 na urahisi wa mawasiliano kwa njia ya barabara zilizotengenezwa na Warumi 6876 6.876 common_voice_sw_37806974.mp3 Kikundi hiki ni moja ya makundi yanayofanya ukatili mkubwa kati ya zaidi ya makundi mia ishirini yaliyopo katika eneo la mashariki mwa Uganda 9396 9.396 common_voice_sw_38107302.mp3 Maji kujaa kwenye moyo 2808 2.808 common_voice_sw_36027529.mp3 imetangaza kufanya mazungumzo na kambi ya upinzani 4428 4.428 common_voice_sw_37663138.mp3 Ongeza unga kwenye meza na unyunyuzie chumvi kijiko moja cha chai 7056 7.056 common_voice_sw_35774955.mp3 Maneno mema hutowa nyoka pangoni 3960 3.96 common_voice_sw_37057269.mp3 Mke wake alikuwa hapati muda wa kupumzika 4896 4.896 common_voice_sw_35682464.mp3 Watoto wamerudi kutoka shule. 4824 4.824 common_voice_sw_37222495.mp3 baada ya kesi ambazo wageni wengi waliziona kuwa hazikuwa za haki 5580 5.58 common_voice_sw_35162113.mp3 alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wanafunzi 3528 3.528 common_voice_sw_34993201.mp3 mkopo huu una riba kwa wakopaji 4428 4.428 common_voice_sw_38105770.mp3 Kupe hao huwa wanawarithisha watoto wao viini 7668 7.668 common_voice_sw_34993503.mp3 walichoandaliwa watoto japo ni chakula kilekilePia Wachagga wamekuwa na desturi ya kuwaenzi wazee 6300 6.3 common_voice_sw_37217449.mp3 mlipuko huo ambayo mpaka sasa imesambabisha watu zaidi ya mia moja thelathini na tano 9072 9.072 common_voice_sw_37222698.mp3 wafanyakazi wa meli hiyo wengine walikuwa watoa huduma 4176 4.176 common_voice_sw_29222067.mp3 Idadi ndogo hupatikana katika milango ya mito. 4500 4.5 common_voice_sw_35989596.mp3 Hoover alichukua muziki kama waasi uchochezi ambayo ina athari hasi kwa kizazi kipyaKatika 7344 7.344 common_voice_sw_38042485.mp3 Hata hivyo kuna wasi-wasi unaoongezeka wa ushiriki wa bahati mbaya kati ya Marekani na Urusi. 7416 7.416 common_voice_sw_38371247.mp3 Kongo inaongeza zaidi ya watu milioni tisini katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye watu 7056 7.056 common_voice_sw_36389876.mp3 Tanzania ina ardhi vivutio vya utalii na raslimali 4248 4.248 common_voice_sw_34994917.mp3 kupitisha kupiga kura juu ya kupunguza bajeti yake 5436 5.436 common_voice_sw_39167045.mp3 Idhaa ilipoanza miaka sitini iliyopita ilikua inatumia mitambo ya masafa mafupi. 6408 6.408 common_voice_sw_34993849.mp3 alisema kuwa hatakubali yeyote kuharibu usalama wa nchi 5760 5.76 common_voice_sw_36448007.mp3 Majeraha mengi sana 2268 2.268 common_voice_sw_29662176.mp3 Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Kolombia. 5976 5.976 common_voice_sw_37057120.mp3 Azerbaijan Iraq Pakistan Uturuki na Turkmenistan Upande wa kusini 9036 9.036 common_voice_sw_36389489.mp3 kwa wale vijana wenye nguvu walifanyishwa kazi ngumu 4176 4.176 common_voice_sw_35144995.mp3 Ina sehemu za Injili ya Yohane 3168 3.168 common_voice_sw_36039926.mp3 Sijawahi soma kitabu hicho 2376 2.376 common_voice_sw_37216063.mp3 muhimu kuhusuUchafuzi wa hewa husababishwa na gesi na 5184 5.184 common_voice_sw_34991656.mp3 na ameongeza kusema kuwa yuko tayari kuruhusu 5868 5.868 common_voice_sw_37057593.mp3 Nasema amina Mungu. 2736 2.736 common_voice_sw_37214813.mp3 shukrani sana nurdin seleman kwa habari hizo za michezo tukutane wakati mwingine 6840 6.84 common_voice_sw_37215631.mp3 bali inazingatia uwajibikaji wa maadili 5760 5.76 common_voice_sw_38521092.mp3 Mfumuko wa Bei nchini Uganda, ambako usambazaji mafuta umevurugika tangu Januari, kuna maeneo ambako lita ya petroli inagharimu dola tatu 9648 9.648 common_voice_sw_36057026.mp3 Mkataji alikuwa anatumia shoto siyo Juliana ingekuwa yeye angekata kutokea kushoto kwenda kulia 8280 8.28 common_voice_sw_34995207.mp3 Dadangu amenitumia pesa ya matumizi. 4140 4.14 common_voice_sw_34994271.mp3 jamii yetu ina kasoro licha ya kwamba watu ni wapweke na wamevunjika 5580 5.58 common_voice_sw_37218178.mp3 Tafuta chakula pale kwa kabati 2880 2.88 common_voice_sw_37217231.mp3 twiga kupiga mateke kwa kutumia miguu yote ya mbele na nyuma 4968 4.968 common_voice_sw_31256069.mp3 Kumbuka watu hawa si watu wapenda misaada ya mteremko 4788 4.788 common_voice_sw_36410947.mp3 na senegal imekubaliana na umoja mataifa kuwapokea wafungwa wanaohukumiwa na mahakama ya kimataifa 10440 10.44 common_voice_sw_35155331.mp3 na kuyataka mataifa mbalimbali kusaidia ile mzozo huu usitishwe 5436 5.436 common_voice_sw_34993256.mp3 mwandishi wetu aliyeko nchini somalia fatma san mbur 4896 4.896 common_voice_sw_34994382.mp3 Kuingia kwake kwenye siasa kuliifanya nyota yake kuanza kuchomoza 6516 6.516 common_voice_sw_35896433.mp3 mauaji yalitokea tarehe ishirini na sita mwezi wa pili 5256 5.256 common_voice_sw_36103549.mp3 Ningeweza kukuuza,ingekuwa siku njema, 4356 4.356 common_voice_sw_35896131.mp3 kadiri mitandao inavyokuwa mikubwa ndivyo tunavyoweza kuwa na habari 5436 5.436 common_voice_sw_37806578.mp3 katika Jumuiya ya Afrika Mashariki 3132 3.132 common_voice_sw_37098742.mp3 hii ya serikali ni ya asili katika udhalimu wote 4680 4.68 common_voice_sw_34991794.mp3 ini wananchi wa marekani wamemtumia ujumbe 3600 3.6 common_voice_sw_34992231.mp3 Ambae aliyemfuatia kwenye nyadhifa hiyo 3276 3.276 common_voice_sw_37665116.mp3 namna ya kuandaa viazi lishe 3240 3.24 common_voice_sw_37218983.mp3 Vita ya Maji Maji ilikuwa ni upingaji mkali wa Waafrika 8748 8.748 common_voice_sw_35990557.mp3 Kaskazini kusini pia 2700 2.7 common_voice_sw_37217374.mp3 ni taarifa za kutupwa kwa watoto 2988 2.988 common_voice_sw_37663144.mp3 kuweka mbolea ya samadi kwa mda unaotakiwa 5148 5.148 common_voice_sw_37999217.mp3 vyombo vya usalama vimeimarishwa kuhakikisha usalama katika uchaguzi wa nchi 7560 7.56 common_voice_sw_38042894.mp3 Kupata ushauri wa wataalamu wa tiba za mifugo 3996 3.996 common_voice_sw_37214675.mp3 Mia mbili na saba hadi mwaka wa mia mbili ishirini na moja 6480 6.48 common_voice_sw_38202013.mp3 ni vyema kuosha mazao yanayotoka katika shamba ambalo umetumia samadi kabla ya matumizi 6336 6.336 common_voice_sw_34993991.mp3 Shimo hili linatokana na Pango la barafu 4644 4.644 common_voice_sw_37057100.mp3 Damu ni nzito kuliko maji 3888 3.888 common_voice_sw_34993457.mp3 Fanya udodozi wa papo hapo 3456 3.456