text string |
|---|
Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi, ACP Ibrahim Mahumi akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Tume ya Maadili na Kuzuia Rushwa nchini Kenya, Bibi Rose M. Machaira mara baada ya kikao kilichofanyika tarehe 18/11/2019 Ofisi ya Rais Utumishi, Mtumba, jijini Dodoma. Wengine ni Watendaji kutoka Ofisi ya Rais, ... |
Mnamo Alhamisi, Februari 8, magazeti ya Kenya yaliandika mada mbalimbali, yakilenga mahakama ambapo mpango mwingine wa serikali ya Kenya Kwanza ulisitishwa.
Mojawapo ya magazeti yaliangazia masaibu aliyokumbana nayo aliyekuwa mpelelezi mkuu kutokana na ulaghai aliyejifanya kuwa wacheza karamu.
1. People Daly
Gazeti hil... |
Mahakama Kuu imeiamuru Bodi ya Uchaguzi kutotangaza matokeo ya Urais hadi kura kutoka kwenye theluthi ya Majimbo zirudiwe kuhesabiwa
Hii ni baada ya chama kikuu cha upinzani, Malawi Congress Party(MCP) kwenda kushitaki wakidai kuwepo hali ya sintofahamu katika matokeo ya majimbo 10 kati ya 28 yaliyopo
Vyama vingine vya... |
hata hivyo rekodi yake nzuri phiri ni kwamba tangu aanze kufundisha simba hajawahi kufungwa au kutoka sare na yanga ila mara zote alishinda maofisa wawili wa al ahly ya misri walikuwapo uwanjani kushuhudia yanga ilipokuwa inatoa kipigo kwa etoile ya comoro mwishoni mwa wiki |
WAKULIMA 2,176 katika Mkoa Morogoro, Iringa na Jombe, wamenufaika na mafunzo stadi katika kilimo na ufugaji, yaliyotolewa kupitia mradi wa Tajirika na Kilimo unaotekelezwa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), ikishirikiana na Shirika la Kimataifa la CARE na Taasisi ya Ukuzaji Kilimo Uwanda wa Kusini m... |
4.2 Majina ya Wanyama ndege na Wadudu Yanavyowakilisha Majina ya
Mitaa
Mtafitialikusanya taarifa za majina ya mitaa ambayo inahusika katikautafiti wake na
mbinu ya hojaji, ushuhudiaji pamoja na mahojiano zilihusika, ambazo zilimuwezesha
mtafiti kupata taarifa | ambazo zinaonesha uhalisia wa majina ya mitaa kuwa
yan... |
Bodi ya uangalizi na usimamizi wa manunuzi ya umma (PPARB) nchini Kenya imetoa ruhusa ya uboreshaji wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Moi mjini Mombasa kwa gharama ya Sh7bn.
Uboreshaji huo utajumuisha ukarabati wa mataa na kuongeza kiwango cha umeme na maji.
Bodi hiyo ya ya uangalizi,ambayo inasimamiwa na wakili Paul ... |
- Morris Shaban, baba wa watoto wanne amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela ikiwa hatoweza kulipa faini ya KSh 600,000
- Wakenya ambao hawakuridhishwa na uamuzi wa korti wamelalamika na kusema uamuzi huo ni ishara tosha ya jinsi sheria Kenya imewekwa kwa ajili ya maskini na haki kwa matajiri
- Mtu tajiri katika was... |
2326 Review and Printing of Road Safety Guidelines 50,000,000.00 324 Na. Kasma Jina la Mradi Urefu (km/Na) Bajeti (Shilingi) 91. 2326 Support to Environment Management Projects in the Road Sector 215,000,000.00 92. |
Jeshi la Uturuki limesema kuwa liko tayari kuchukua hatua kulinda mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo usioegemea katika dini. Taarifa hiyo imekuja baada ya bunge la Uturuki kufanya uchaguzi wa duru ya kwanza kumchagua rais mpya. Upande wa upinzani umesusia uchaguzi huo ambapo waziri wa mambo ya kigeni Abdullah Gul wa chama c... |
Pesa … Money…Currencies
Hapo kuna dola za Zimbabwe (hata zile zilizofikia thamani ya mamilioni kwa mabilioni) kwacha za Zambia na Malawi, faranga za Burundi, fedha za Kongo, baadhi ya fedha za zamani za Tanzania, fedha za Botswana, fedha za Pakistani, na baadhi ya fedha za mataifa ya Afrika Magharibi.
Sanaa. Kwa kutaza... |
Alianza mazoezi ya sauti katika kwaya ya shule na kanisa. Baina ya spishi hizi yuko ndege wenye mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Magamba ni makubwa kiasi. Hata hivyo, kaunti ya Kisii ina msongamano mkubwa sana wa watu. |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amefurahishwa na mfumo maalumu wa kuhakiki pembejeo za wakulima unaojulikana kama ‘T-Hakiki’ uliozinduliwa hivi karibuni na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kuwasaidia wakulima kutambua ubora wa pembejeo kabla ya kuzitumia.
Waziri Mkuu amevutiwa na mfumo huo alipotembelea Banda la TT... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.