path stringlengths 28 28 | sentence stringlengths 3 2.13k | duration[ms] int64 1.19k 10.5k | duration_seconds float64 1.19 10.5 |
|---|---|---|---|
common_voice_sw_37098897.mp3 | Sasa ni saa sita na nusu. | 2,340 | 2.34 |
common_voice_sw_29791953.mp3 | Wabena wengi kwa sasa wanapatikana wilaya ya njombe | 4,428 | 4.428 |
common_voice_sw_29638989.mp3 | Taarifa kuhusu masoko zinaweza kupatikana kutoka vyanzo mbalimbali na na mbinu. | 10,368 | 10.368 |
common_voice_sw_30581578.mp3 | Jina la Olduvai Gorge ambayo ni ukosefu wa kuandika Oldupai | 5,508 | 5.508 |
common_voice_sw_30007744.mp3 | Baraza la Mawaziri na waziri mmojammoja sasa waliwajibika kwa Raisi badala | 8,748 | 8.748 |
common_voice_sw_30332061.mp3 | Malengo mengineyo yalikuwa ni katika kulinda maslahi ya jamii ya kabila la Wamaasai | 7,380 | 7.38 |
common_voice_sw_30223238.mp3 | Baadhi ya vitu kwenye magofu hayo vinaibwa vinaharibiwa wakati magofu mengine yakizidi kuchakaa | 8,460 | 8.46 |
common_voice_sw_31446653.mp3 | watu wote wanatofautiana kimaisha ulimwenguni kote | 4,356 | 4.356 |
common_voice_sw_35115469.mp3 | kati ya mitume wote aliyesafiri kuhubiri na kuanzisha shirika kama Paulo | 5,688 | 5.688 |
common_voice_sw_35115473.mp3 | Albamu yake ya Trinity ilikuwa ya kwanza kutolewa na kampuni ya Tabu rekodi | 5,940 | 5.94 |
common_voice_sw_30332354.mp3 | Ndege zake tatu zilikuwa zikitoka uwanja wa ndege wa Ngerengere mkoani Morogoro | 7,128 | 7.128 |
common_voice_sw_29616350.mp3 | Hiyo ina maana kwamba ni katika hali chache sana inaweza kushindwa. | 9,360 | 9.36 |
common_voice_sw_30658829.mp3 | pia baadhi ya kina mama huwapa watoto vyakula tofauti ili wasiweze kusumbua | 6,408 | 6.408 |
common_voice_sw_31787537.mp3 | mfugale alipata elimu yake ya msingi mkoani iringa | 5,256 | 5.256 |
common_voice_sw_34834324.mp3 | wazazi wanatakiwa wapimwe virusi vya ukimwi | 4,788 | 4.788 |
common_voice_sw_35154906.mp3 | Wameshiriki mara kwa mara katika mazoezi ya usafi | 4,968 | 4.968 |
common_voice_sw_29911995.mp3 | Wanapatikana viumbe adimu ulimwenguni vivutio vingine ni ufugaji wa vipepeo | 6,408 | 6.408 |
common_voice_sw_30341841.mp3 | Makundi hayo ni Waluguru wanaoishi milimani na wale wanaoishi mabondeni | 6,804 | 6.804 |
common_voice_sw_31446669.mp3 | ni kawaida kwa wakimbizi wanapokuwa wakihama | 3,636 | 3.636 |
common_voice_sw_30016472.mp3 | Urais wa chama hiki ulitolewa kwa Jomo Kenyatta | 4,716 | 4.716 |
common_voice_sw_35102319.mp3 | Jacob alijaribu kufikiria lakini akasema aliyefikisha taarifa alikuwa sahihi kwa kumlinda Hakizimana | 8,820 | 8.82 |
common_voice_sw_31446680.mp3 | Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni pigo lilidhoofisha sana | 5,328 | 5.328 |
common_voice_sw_36376016.mp3 | tetemeko lenye ukubwa wa richa nane nukta tisa | 3,960 | 3.96 |
common_voice_sw_34933888.mp3 | Mombasa ni mji mkuu wa Kenya | 2,988 | 2.988 |
common_voice_sw_29141934.mp3 | Jimbo lina wakazi milioni moja. | 2,556 | 2.556 |
common_voice_sw_36036936.mp3 | Katika miaka yake ya kushika serikali Amin alibadilika kutoka uhusiano wa kirafiki na nchi | 5,076 | 5.076 |
common_voice_sw_30113889.mp3 | Sheria hii inayatambua majengo yote yaliyojengwa kabla ya mwaka elfu moja Mia nane sitini | 7,308 | 7.308 |
common_voice_sw_35224272.mp3 | kukubali utumwa au la madola ya kusinimashariki yalitangaza | 6,336 | 6.336 |
common_voice_sw_29792343.mp3 | Wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe | 5,580 | 5.58 |
common_voice_sw_29637510.mp3 | Hakuna habari za uhakika juu yake. | 3,528 | 3.528 |
common_voice_sw_36036581.mp3 | zaidi ya mia moja ishirini na moja kila kabila likiwa na lugha yake | 3,960 | 3.96 |
common_voice_sw_36036583.mp3 | ili kuona kuwa usalama unadumuishwa nataka nataka kuwa | 3,816 | 3.816 |
common_voice_sw_35155138.mp3 | wamechanganya sauti na midundo ya kiamasai katika muziki wao | 5,976 | 5.976 |
common_voice_sw_35181215.mp3 | sasa hata hawa wanaogombea upande wa pili ya wapinzani | 4,860 | 4.86 |
common_voice_sw_36036621.mp3 | aa wa kocha aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya tanzania mbrazil masio maximo | 5,256 | 5.256 |
common_voice_sw_30105844.mp3 | Wairwana wana maeneo kuelekea Kaskazini | 5,904 | 5.904 |
common_voice_sw_30105845.mp3 | Takriban watu elfu themanini walipaswa kuondoka kwao wakihamia Uingerez Marekani au hasa Kanada | 9,360 | 9.36 |
common_voice_sw_30209249.mp3 | Barcelona ilicheza na Atletico Madrid kwenye michuano ya mabingwa | 6,228 | 6.228 |
common_voice_sw_30659033.mp3 | Akiwa ni mwanafunzi pekee mwenye ngozi nyeusi katika shule hiyo | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_36384487.mp3 | vema pia kusema kuwa shule hizo huvutia wanafunzi kutoka Tanzania nzima haziwasomeshi Wachagga tu | 9,612 | 9.612 |
common_voice_sw_31446772.mp3 | Hakuna mauaji yanayolenga vikongwe bali kuna mauaji yanayolenga wachawi na albino | 7,416 | 7.416 |
common_voice_sw_29803662.mp3 | shughuli za wabena zinatofautiana kutoka na eneo | 5,040 | 5.04 |
common_voice_sw_30581647.mp3 | kumechangia kuamsha ari ya wananchi kulima kwa wingi zao hilo | 4,608 | 4.608 |
common_voice_sw_30209250.mp3 | Kila nchi ilikuwa inahitaji kuwa wenyeji wa michuano ya kombe la dunia | 5,760 | 5.76 |
common_voice_sw_30209257.mp3 | Wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya muungano wa kiafrika Tanganyika uliofanyika | 7,056 | 7.056 |
common_voice_sw_30341914.mp3 | Mpaka wa Namanga uliopo mkoani Arusha kaskazini mwa nchi | 5,472 | 5.472 |
common_voice_sw_35154665.mp3 | vilivyo karibu na miji katika nchi zenye kipato cha chini hutoka kwa nyumba | 6,336 | 6.336 |
common_voice_sw_31787656.mp3 | sababu pekee inayoweza kusababisha kuchelewa kwa Nyumbu kwenda Kenya | 5,076 | 5.076 |
common_voice_sw_30341958.mp3 | asilimia arobaini ya aina za samaki zinakaribia kupotea | 6,408 | 6.408 |
common_voice_sw_35156946.mp3 | upungufu mkubwa wa hewa chafu inayotolewa na viwango vikubwa vya | 5,760 | 5.76 |
common_voice_sw_30357220.mp3 | Ilizama katika Maji ya Ziwa Victoria mkoani Mwanza | 4,716 | 4.716 |
common_voice_sw_29792896.mp3 | kuna maeneo makubwa yaliyowekezwa kwa kiasi kikubwa | 3,816 | 3.816 |
common_voice_sw_36037216.mp3 | ya kilimo na malisho ya wanyama Katika maeneo husika | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_36037250.mp3 | msikilizaji leo naongea na watu mbalimbali barani afrika kuona hali hii ikoje | 5,796 | 5.796 |
common_voice_sw_36384517.mp3 | nasema zaidi ya watu mia saba sitini na sita | 4,284 | 4.284 |
common_voice_sw_31787679.mp3 | utakuta watu wenye jamii ya kidigo ndio wazuri sana | 5,040 | 5.04 |
common_voice_sw_30357270.mp3 | Historia ya kabila la Wahehe linaanzia kwa mtu aliyeitwa Mufwimi | 5,904 | 5.904 |
common_voice_sw_29634444.mp3 | Masi ya protoni ni ndogo sana. | 4,176 | 4.176 |
common_voice_sw_31787695.mp3 | jitihada zake kubwa zilizo fanikisha kupata uhuru | 5,040 | 5.04 |
common_voice_sw_30221330.mp3 | alipata shahada ya uandisi katika chuo cha arusha | 5,508 | 5.508 |
common_voice_sw_36037892.mp3 | katika michuano ya mwaka elfu moja mia tisa hamsini na nane | 4,788 | 4.788 |
common_voice_sw_30341941.mp3 | Harusi inaanza na baraka kutoka kwa mzee wa kabila hilo | 5,652 | 5.652 |
common_voice_sw_35154707.mp3 | sehemu ya kikundi cha mauaji inayolengwa kuadhibiwa ilipatikana | 7,020 | 7.02 |
common_voice_sw_29793138.mp3 | Na hatimaye kupata uhuru wake kutoka kwa Ureno wakiongozwa na Samora Michael | 5,076 | 5.076 |
common_voice_sw_36245219.mp3 | na mifuko iliyopo inangojea ipate mshahara wa kila mwezi | 3,348 | 3.348 |
common_voice_sw_37545418.mp3 | Wamekubali kushindwa iwapo upigaji kura utakuwa huru na wa haki | 7,488 | 7.488 |
common_voice_sw_30581823.mp3 | Ni jina walilopewa watoto wa kiume waliozaliwa wakati ngombe wameibwa | 4,788 | 4.788 |
common_voice_sw_36037000.mp3 | vyo vinaongoza sasa hivi kama kwenye taarifa yetu ndio lakini | 5,076 | 5.076 |
common_voice_sw_31787732.mp3 | ndege Kama vile flamingo na korongo hupatikana kwa wingi | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_30123013.mp3 | pep anapenda ligi zenye ushindani mkubwa | 4,356 | 4.356 |
common_voice_sw_30581842.mp3 | Nadharia ya chaguo la kutokana na mawazo gharama ya fursa | 4,428 | 4.428 |
common_voice_sw_34834314.mp3 | Ninahitaji kuhakikisha kitu. | 3,816 | 3.816 |
common_voice_sw_30123015.mp3 | Ulikubali kulala njaa kukesha wakati naumwa na hata kuonyesha tabasamu japo moyoni unaumia | 9,180 | 9.18 |
common_voice_sw_30624142.mp3 | Kupata bidhaa na kupunguza fedha inayotumiwa na serikali kulipia mishahara | 6,228 | 6.228 |
common_voice_sw_35167421.mp3 | a huo wa mataifa umeeleza kuwa wanawake hao | 4,248 | 4.248 |
common_voice_sw_29936638.mp3 | kuhusu shughuli za al Qaeda na Bin Laden Waliacha nyuma watu | 5,220 | 5.22 |
common_voice_sw_30332523.mp3 | Hivyo ni rahisi kutambua koo zao kulingana na miiko yao | 5,148 | 5.148 |
common_voice_sw_35168320.mp3 | Zanzibar inatajwa kuwa nchi ya tatu duniani kwa waingi na ubora wa uzalishaji | 6,156 | 6.156 |
common_voice_sw_34958891.mp3 | haijawahi kurejeshwa Waturuki Waturuki wa Meskhetian Shors Chulyms | 4,536 | 4.536 |
common_voice_sw_30550166.mp3 | Twiga pia huweza kukaa kwa vipindi virefu bila kunywa maji hata siku moja | 6,660 | 6.66 |
common_voice_sw_30342397.mp3 | Sasa limezaa matunda na kumuweka rais Samia katika mstari wa mbele barani Afrika | 6,948 | 6.948 |
common_voice_sw_30226603.mp3 | timu nyingi za hispania zinaweza kubeba ubingwa | 4,608 | 4.608 |
common_voice_sw_30342416.mp3 | ugonjwa huu hauna tiba hivyo yatupasa tujikinge | 5,976 | 5.976 |
common_voice_sw_30552305.mp3 | magofu ya mji mkongwe wa bagamoyo yanakabiriwa na tishio hili | 6,516 | 6.516 |
common_voice_sw_31787791.mp3 | wajerumani walipinga kifo cha sokoine kabisa | 4,320 | 4.32 |
common_voice_sw_30415190.mp3 | Zaidi ya hayo Ziwa Manyara limepata sifa ya ziada duniani kote | 8,028 | 8.028 |
common_voice_sw_30113942.mp3 | Hiyo ni kwa upande wa madini yanayochimbwa katika Bara la Afrika | 4,392 | 4.392 |
common_voice_sw_35167771.mp3 | kusonga wakati wote ili kufurahi raha za | 5,328 | 5.328 |
common_voice_sw_30209268.mp3 | Ni kweli inaweza kutokea Tanzania ikaenda katika Kombe la Dunia na Ghana ikishindwa kufuzu | 7,920 | 7.92 |
common_voice_sw_34933618.mp3 | ndizo sababu ikumbukwe tu afrika kusini | 3,456 | 3.456 |
common_voice_sw_36037772.mp3 | Alitaka mwili wa magreth uchunguzwe pia alihisi kuna kifaa aliwekewa mwilini mwake | 4,896 | 4.896 |
common_voice_sw_36037834.mp3 | hamu kwamba sasa hivi jaji anaendelea kutangaza matokeo ya majimbo yalio baki | 6,588 | 6.588 |
common_voice_sw_30341932.mp3 | Ndege Tausi wanalindana sana kwenye hatari hasa anapotokea paka shume na nyoka wakubwa | 8,964 | 8.964 |
common_voice_sw_36037836.mp3 | Zanzibar iko pwani mwa Tanzania na watu wengi kutoka sehemu mbalimbali kwenda huko | 5,040 | 5.04 |
common_voice_sw_30342862.mp3 | licha ya kupokea watalii wa ndani na nje wanaojifunza historia za kale | 7,128 | 7.128 |
common_voice_sw_34730884.mp3 | katika safari ya wajerumani kuja kuitawala Tanganyika | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_30209272.mp3 | Akishatulia hupelekwa ndani na kuoneshwa sehemu yenye maji baridi kwa ajili ya kumuogesha mumewe | 8,928 | 8.928 |
common_voice_sw_34760004.mp3 | alifanya mikataba ya ulinzi na watawala wadogo | 4,716 | 4.716 |
common_voice_sw_35181105.mp3 | Ni sababu ya ubantu wao ila haiwafanyi wawe warundi au wanyarwanda | 6,156 | 6.156 |
common_voice_sw_36637210.mp3 | vyanzo vya aina mbali mbali ya vichafuzi vya hewa Sekta ya kibinafsi | 5,976 | 5.976 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.