path
stringlengths
28
28
sentence
stringlengths
3
2.13k
duration[ms]
int64
1.19k
10.5k
duration_seconds
float64
1.19
10.5
common_voice_sw_31910237.mp3
Wanafunzi wanakuja chuoni
2,628
2.628
common_voice_sw_37096105.mp3
limesema kuwa lipo tayari kuchukua jukumu la kuishambulia libya
4,536
4.536
common_voice_sw_36034438.mp3
hivyo waliwaamuru Wamatumbi wote kuepukana na asili yao
4,716
4.716
common_voice_sw_36038362.mp3
wa biashara wa muda mrefu Ruge Mutahaba na kuanzisha mpango wa kufungua kituo
6,768
6.768
common_voice_sw_35177544.mp3
eneo la mkoa lilikuwa takriban kilometa za mraba elfu sabini
4,248
4.248
common_voice_sw_37224803.mp3
wachimbaji ambao walikuwa wamenaswa chini ya udongo
3,816
3.816
common_voice_sw_36385886.mp3
Huku wachache wakiwa wanamiliki mali za nchi hizo
4,500
4.5
common_voice_sw_35146524.mp3
dunia Tangu kuingia kwa Waingereza katika nchi za ghuba
5,220
5.22
common_voice_sw_35166946.mp3
kawaida huwa Kuna wachezaji wa aina tatu
4,500
4.5
common_voice_sw_35104410.mp3
hajalipa marupurupu yake hajalipa mshara yake
5,220
5.22
common_voice_sw_36375123.mp3
hati inaweza kuwahusisha watazamaji na hadhira
4,068
4.068
common_voice_sw_36383182.mp3
hata kama si mwanachamaIla matambiko na ngoma watacheza na kufanyia kwakoChakula chao
9,756
9.756
common_voice_sw_37223194.mp3
pingamizi kwa Sultani lilishindikana kwa sababu Wajerumani walituma manowari Unguja
5,508
5.508
common_voice_sw_37085583.mp3
Ndio maana Karafuu hutumika kama kiungo cha chai
4,392
4.392
common_voice_sw_36037339.mp3
Mja wako nasumbuka, nipate niyatakayo.
3,816
3.816
common_voice_sw_36732053.mp3
pia alijitokeza akaenda pia akapanda miti wakuu wote
4,608
4.608
common_voice_sw_36252713.mp3
na Meksiko Marekani ilipanua eneo lake kwenda
4,608
4.608
common_voice_sw_36035594.mp3
aa masio maksimu wamekuwa wakihimiza nidhamu miongoni mwa wachezaji wa nyumbani aa unajua
6,660
6.66
common_voice_sw_36732173.mp3
mifumo yote ya ukuhani na ya Patakatifu pa kidunia Kafara kuu ilitolewa pale msalabani
7,668
7.668
common_voice_sw_36644677.mp3
huyo ni mwanasheria kutoka nchini kenya cyprian nyamwamu akizungumza kutoka dar es salaam
7,128
7.128
common_voice_sw_36385241.mp3
Hussein Mwinyi alisoma shahada yake ya kwanza ya udaktari wa kibinaadamu
6,660
6.66
common_voice_sw_31997126.mp3
Amrisha waje
1,980
1.98
common_voice_sw_36385255.mp3
aandalizi ya mkutano wa mataifa ishirini ya utajiri wa viwanda duniani
4,932
4.932
common_voice_sw_36383691.mp3
likijulikana kama Wilaya Ndogo ya Musoma
3,996
3.996
common_voice_sw_35221543.mp3
amri ilitambua kuwa hatima ya meli hiyo ilikuwa mwishoni
6,480
6.48
common_voice_sw_36375763.mp3
Pia ameiomba Serikali kwamba inapopanga bajeti zake kuhakikisha haziwi tegemezi sana
5,148
5.148
common_voice_sw_35102909.mp3
tanganyika iliwekwa chini ya usimamizi wa uingereza
4,428
4.428
common_voice_sw_36944956.mp3
juhudi ambazo zinafanywa na alasan watera
5,760
5.76
common_voice_sw_35115804.mp3
Msichana wa Kimasai mwenye mavazi ya rangi za kitamaduni na shanga katika matukio
5,148
5.148
common_voice_sw_35103059.mp3
Upungufu wote.
2,088
2.088
common_voice_sw_35107272.mp3
wa Amazon kuna siafu wanaopatikana katika wanaojulikana
4,716
4.716
common_voice_sw_29639685.mp3
Mlipuko unaweza kutokea kwa asili.
4,608
4.608
common_voice_sw_36389893.mp3
Na watoto wanapowaona wazazi wao wakitumia pombe
3,996
3.996
common_voice_sw_36732113.mp3
Miaka ya sitini kurudi nyuma kisiwa hicho hakikuwa na mtu yeyote
5,796
5.796
common_voice_sw_35198833.mp3
Njia yangu iwe ndefu.
2,196
2.196
common_voice_sw_36040753.mp3
Baada ya kujivua nafasi zote za uongozi ndani ya serikali ya Cuba
5,256
5.256
common_voice_sw_36374910.mp3
msemaji wa chama cha mdc nelson chamisa
4,680
4.68
common_voice_sw_35165950.mp3
lakini pia hawa watu wa kaskasini
4,968
4.968
common_voice_sw_37083718.mp3
mno na hakuna walimu wa michezo Vijana ambao wana vipaji hulelewa tokea wakiwa wadogo
9,720
9.72
common_voice_sw_36617717.mp3
Wote wasingekukimbia
2,520
2.52
common_voice_sw_35153848.mp3
Baada ya kumaliza chuo kikuu Lowassa alifanya kazi ndani ya chama Cha mapinduzi
6,120
6.12
common_voice_sw_36637321.mp3
tunatamani sisi wote kabisa tuweze kuona namna gani
3,816
3.816
common_voice_sw_35168467.mp3
hayo wameeleza kuwa ingawa kuchanja ni hiari lakini kuna kila sababu ya kuhakikisha kuwa
10,260
10.26
common_voice_sw_36250933.mp3
Karatasi nyeusi.
2,088
2.088
common_voice_sw_35221666.mp3
nld kilicho jiondoa katika kinyanganyiro hicho yakipinga namna uchaguzi huo ulivyofanyika
6,660
6.66
common_voice_sw_37089359.mp3
Kaa nami Yesu
2,196
2.196
common_voice_sw_35210893.mp3
Sensa ya watu na makazi itafanyika Agosti Mwaka elfu mbili ishirini na mbili
6,156
6.156
common_voice_sw_36332339.mp3
Kihindi na Kiarabu inatumia ala za udi fidla filimbi na ngoma Kwa kiasi kikubwa
6,120
6.12
common_voice_sw_35116237.mp3
cha lafudhi ya kimarekani anasema anapenda kusoma na muziki wa kiasilikimagharibina muziki
8,460
8.46
common_voice_sw_35106197.mp3
Ikasababisha mchakato wa kupata Katiba ya Muungano ndani ya mwaka mmoja
5,040
5.04
common_voice_sw_35103065.mp3
Jitihada zikasaidia nchi hiyo kupaa na kuwa moja ya nchi tajiri
5,868
5.868
common_voice_sw_29380871.mp3
Huwa na miguu sita.
2,448
2.448
common_voice_sw_36331444.mp3
watumbuizaji ambao huvutia mashabiki wao
3,276
3.276
common_voice_sw_35284791.mp3
siri kutoka kwa maoni ya mwanadamu kwa karne
3,456
3.456
common_voice_sw_36036584.mp3
halistahili kuwepo kwani linakiuka haki
3,636
3.636
common_voice_sw_36616911.mp3
Penzi lako ni la uongo
2,268
2.268
common_voice_sw_36366367.mp3
hapa mlalakuwa mkabala na mlimani city
5,148
5.148
common_voice_sw_36037981.mp3
Wanafunzi wamo darasani.
3,168
3.168
common_voice_sw_35245335.mp3
kati ya milimeta mia saba hamsini hadi milimeta elfu moja
7,740
7.74
common_voice_sw_36373120.mp3
inatakiwa kuwasiliana na wataalam wa tanzu ya kituo kikuu cha redio
6,156
6.156
common_voice_sw_29323788.mp3
Ni maarufu kwa ngano zake.
2,916
2.916
common_voice_sw_29458645.mp3
Kupata hewa safi ni muhimu kama kula mlo kamili na kunywa maji safi.
5,868
5.868
common_voice_sw_29630853.mp3
Wote wawili huonekana kwenye matangazo ya televisheni ya kampuni.
5,796
5.796
common_voice_sw_35102426.mp3
Kuzifufua na kuziendeleza kazi za sanaa na kulinda na kuendeleza mila silka na desturi
6,696
6.696
common_voice_sw_35099141.mp3
Bila marafiki ni ngumu sana kuendelea
3,528
3.528
common_voice_sw_36043450.mp3
Jacob aliendelea kukagua maeneo mbali mbali ya ile nyumba mwisho akaingia chumbani kwa Magreth
7,488
7.488
common_voice_sw_29261958.mp3
Siku hizi kuna pia utalii.
4,356
4.356
common_voice_sw_35099429.mp3
kuendeleza na kudumisha mitandao ya kufuatilia viwango vya ubora
5,076
5.076
common_voice_sw_31997645.mp3
Yule mjamaa ni hayawani sana, tabia zake ni za kihayawani
5,436
5.436
common_voice_sw_29492654.mp3
Kifupi chake ni kg.
2,448
2.448
common_voice_sw_35272549.mp3
na tano kutoka kwa viongozi wa viama vya upinzani vilivyokuwa vikishindana
5,976
5.976
common_voice_sw_29749021.mp3
Tovuti Rasmi ya Mji
3,240
3.24
common_voice_sw_31996738.mp3
Binadamu wote wavuta pumzi
3,240
3.24
common_voice_sw_35168862.mp3
ningesema kwa jumla kwa wananchi aaa
4,176
4.176
common_voice_sw_37099758.mp3
kuudhoofisha kwa lugha hii Kundi la tatu la
5,508
5.508
common_voice_sw_35180254.mp3
Akachukua vitu kadhaa na kuviweka katika mifuko yake ya jeans kwenye shati na suruali
5,580
5.58
common_voice_sw_36034798.mp3
Kama zile zinazofungamana na uuaji au moto pia vita na kadhalika
5,328
5.328
common_voice_sw_28962037.mp3
Kwa sasa hupatikana sehemu ya kusini na kati ya Ureno na Hispania.
4,860
4.86
common_voice_sw_35167134.mp3
Anapenda sana wasichana
3,168
3.168
common_voice_sw_36641627.mp3
tutazame sasa suala hili katika wigo wa kiuchumi
4,788
4.788
common_voice_sw_37211755.mp3
mwaka elfu moja mia tisa themanini na tatu
3,276
3.276
common_voice_sw_37222853.mp3
ya Anatolia ambayo wengi wa Uturuki wa sasa
4,608
4.608
common_voice_sw_37224160.mp3
yaani kuwa na mamlaka ya majeshi ya vita japo walipewa mamlaka ya Uhamiaji kwa
5,436
5.436
common_voice_sw_36381571.mp3
Ibn Batuta aliyefika mwaka elfu moja mia tatu thelathini na moja
3,996
3.996
common_voice_sw_28961552.mp3
Hasa alichunguza vipande vya atomu na nadharia yake.
4,500
4.5
common_voice_sw_36390239.mp3
Inaelekea mlalamikaji Punja Kara Haji alitumia waraka
2,628
2.628
common_voice_sw_37093593.mp3
sehemu nyingine za bara la Afrika na nje ya
4,536
4.536
common_voice_sw_35221495.mp3
unatakiwa kukusanya nyaraka zenye uthibitisho halisi wa redio yako
5,760
5.76
common_voice_sw_35107598.mp3
ije tukawa na ubaguzi tena tukawa na mfaragano
4,788
4.788
common_voice_sw_29583656.mp3
Kuna bandari na ofisi za serikali.
3,636
3.636
common_voice_sw_35171896.mp3
kutegemea dawa za kulevya hutofautiana kutoka kileo hadi kingine na kutoka
6,300
6.3
common_voice_sw_35183769.mp3
wengi asilimia sabini na moja wana mchanganyiko wa damu ya
4,608
4.608
common_voice_sw_36945597.mp3
wakati wa sensa ya mwaka elfu mbili na kumi na mbili
5,256
5.256
common_voice_sw_29593160.mp3
Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili yaliyo katika kaunti ya Kiambu.
4,860
4.86
common_voice_sw_29671738.mp3
Hivyo katika Zaburi zote aliona fumbo la Kristo na la mwili wake, yaani Kanisa.
6,300
6.3
common_voice_sw_35284671.mp3
mfumo utawezesha malipo ya papo kwa hapo kwa watoa huduma za kifedha
5,580
5.58
common_voice_sw_36944999.mp3
aa mahitaji yetu na amalize kabisa mauaji kati ya wakristo na waislamu
7,560
7.56
common_voice_sw_35109284.mp3
uwanja wake wa nyumbani stanford bridge
3,708
3.708
common_voice_sw_29557587.mp3
Mto huo upo ukanda wa kusini mwa Nigeria.
3,600
3.6
common_voice_sw_36033757.mp3
Pakacha kazi yake ni kubebea vitu mbali mbali kama machungwa embe chenza na kuku
6,516
6.516