path
stringlengths
28
28
sentence
stringlengths
3
2.13k
duration[ms]
int64
1.19k
10.5k
duration_seconds
float64
1.19
10.5
common_voice_sw_35102791.mp3
Umeumba vyote viishivyo.
3,276
3.276
common_voice_sw_29596763.mp3
Katika nyimbo za mataifa ya Afrika, hakuna wimbo mwingine unaojulikana kama wimbo huo.
7,200
7.2
common_voice_sw_36365270.mp3
Alipokuwa msichana mkubwa wa kujiunga na chuo kikuu
5,148
5.148
common_voice_sw_35167682.mp3
yanaipa hadhi hiyo lugha ya Kiingereza iliyo lugha ya kwanza kwa
6,228
6.228
common_voice_sw_36031969.mp3
Hamisi ameenda msikitini
3,420
3.42
common_voice_sw_35183791.mp3
Hili ni kutokana na uchafuzi unaondelea katika Ziwa Victoria
4,896
4.896
common_voice_sw_36382040.mp3
milima mengine mirefu nchini ambayo nayo ina vivutio lukuki vya utalii
6,876
6.876
common_voice_sw_29377767.mp3
Mfano moja ni sungura.
2,268
2.268
common_voice_sw_29058406.mp3
Ndio mwanzo wa utalii wa Malindi.
3,960
3.96
common_voice_sw_35103508.mp3
Michael Joseph Jackson alizaliwa tarehe ishirini na tisa
4,608
4.608
common_voice_sw_29632589.mp3
Uvuvi ni sehemu muhimu ya uchumi wa mji.
3,096
3.096
common_voice_sw_35113925.mp3
Katika ibada hiyo kijana atarudia ahadi ya ubatizo wake na kuwekewa mikono na mchungaji
6,156
6.156
common_voice_sw_35165863.mp3
kupanda Mlima Meru kunachukua siku tatu hadi nne
4,608
4.608
common_voice_sw_35146457.mp3
benerd kushina ni waziri wa mambo ya nje wa ufaransa
7,740
7.74
common_voice_sw_35164293.mp3
Uturuki kutoka mwisho Badala yake na hadithi fupi juu ya
6,408
6.408
common_voice_sw_36389519.mp3
yameingia katika siku ya nne hii leo
3,816
3.816
common_voice_sw_36381337.mp3
kwamba hizi habari zitabaki siri maanake ni miundo na mikakati ya uhifadhi
5,616
5.616
common_voice_sw_37100874.mp3
Bongo Fleva na jamii mpaka anaanza kuumwa na mauti unamfika Mwaka elfu moja
5,256
5.256
common_voice_sw_29634532.mp3
Hakuna habari nyingi za hakika kuhusu maisha yake.
4,140
4.14
common_voice_sw_36382830.mp3
Ujerumani au Udachi kwa Kijerumani ni nchi ya Ulaya ya kati
6,228
6.228
common_voice_sw_36615445.mp3
Wakristo wa kwanza walikuja wakati wa utawala wa Kireno
4,248
4.248
common_voice_sw_35106165.mp3
Pechenè alisisitiza umuhimu wa kwamba mpango huo unaweza kuwa
5,400
5.4
common_voice_sw_36041344.mp3
walowezi Wa kizungu walikuwa wakatili mno
3,996
3.996
common_voice_sw_37211772.mp3
afrika kwa hivyo mwanamke wa kiafrika anapendeza sana
4,788
4.788
common_voice_sw_35181948.mp3
yule rais wa zamani ufaransa zack shirack
4,788
4.788
common_voice_sw_35168843.mp3
na kujifunza uimbaji wake Ama hakika muziki huu ulikuwa ukinishangaza sana Kwa wengi pia
7,956
7.956
common_voice_sw_35165771.mp3
Kwa Tanzania na nchi nyingi za Afrika
4,176
4.176
common_voice_sw_35988589.mp3
Kiumbe huyo amekuwepo kwa miaka milioni na bado hajulikani ni kiumbe wa aina gani
6,660
6.66
common_voice_sw_35106736.mp3
Baada ya kuhitimu elimu ya msingi Maalim Seif aliendelea na masomo ya sekondari
5,580
5.58
common_voice_sw_29368789.mp3
Ni mnara wa jiwe uliopakwa rangi nyeupe.
3,996
3.996
common_voice_sw_37224864.mp3
saba tisini na sabaRais George Washington mnamo mwaka elfu moja mia saba tisini
7,200
7.2
common_voice_sw_36034157.mp3
Simanjiro Wabantu Wanguu Wachagga Wapare Warangi na makabila mengine
6,120
6.12
common_voice_sw_35103230.mp3
Maji na damu yako ni safi
2,880
2.88
common_voice_sw_29638946.mp3
Iko katika mashariki ya Marekani bara.
2,808
2.808
common_voice_sw_29579987.mp3
Sehemu ya mashariki ikawa upande wa Marekani na sehemu ya magharibi upande wa Ujerumani.
9,360
9.36
common_voice_sw_29489027.mp3
Kiini cha dola ni utekelezaji wa mamlaka katika eneo fulani.
4,716
4.716
common_voice_sw_36382351.mp3
Amemkabidhi Rais Samia Miongozo ya kuwawezesha na kuwafundisha vijana wa Skauti
8,388
8.388
common_voice_sw_29516774.mp3
Ndiyo asili ya farakano la Misri, Syria, Armenia nakadhalika.
7,668
7.668
common_voice_sw_36035611.mp3
kuamua kufanya mabadiliko katika mpango huo wa nyuklia
3,456
3.456
common_voice_sw_37090248.mp3
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ajira mpya kwa vyombo vya usalama
4,500
4.5
common_voice_sw_35963937.mp3
ikiwa ni pamoja na kukagua mizigo yote inayoingia
3,996
3.996
common_voice_sw_36004963.mp3
Pia ilikuwa na mahusiano ya kisiri na jumuiya ya Harakati
4,680
4.68
common_voice_sw_36036693.mp3
kakar katika kitabu chake anawanukuu chalk na jonassohn
5,976
5.976
common_voice_sw_36032408.mp3
nusu ya vifo vya jumla hutokea katika nchi mbili tu kwa mujibu wa
5,940
5.94
common_voice_sw_35178219.mp3
yawe ya kukusifu wewe
2,268
2.268
common_voice_sw_29182621.mp3
Mwaka uliofuata, aliigiza kama mwanafunzi Djamila kwenye "Reviravolta".
7,596
7.596
common_voice_sw_37229973.mp3
Walimu shuleni walizungumzia tatizo hilo kijuujuu tu
4,140
4.14
common_voice_sw_35167458.mp3
Marekani kuvua samaki katika Atlantiki Sasa vita
5,328
5.328
common_voice_sw_36032736.mp3
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam
4,968
4.968
common_voice_sw_35990767.mp3
Nikamwamini yeye anisamehe dhambi
4,896
4.896
common_voice_sw_37229745.mp3
Alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi huko Zanzibar
5,436
5.436
common_voice_sw_36382417.mp3
aa mimi naweza kusema kama ligi imeanza kwa
4,068
4.068
common_voice_sw_35179954.mp3
wa chini ya ishirini Ili kujifunza zaidi kuhusu
3,996
3.996
common_voice_sw_35115757.mp3
kwa mwaka wa elfu mbili na kumi na nane
3,240
3.24
common_voice_sw_35183649.mp3
Jacob akajua kuwa ni ile risasi alopigwa mkononi
4,788
4.788
common_voice_sw_36644949.mp3
Mwaka elfu moja mia nane tisini na nane Wamatumbi wakagundua mbinu nyingine
6,048
6.048
common_voice_sw_35165636.mp3
Andrea alimweleza Jacob akimtaka apige simu ubalozini simu ile alisajili kuongea na yeye tu
9,000
9
common_voice_sw_35104503.mp3
kati ya maeneo ambayo yaliathirika sana na vita baina ya nchi hizo
5,148
5.148
common_voice_sw_35438895.mp3
Mwaka elfu moja mia nane ishirini na tisa
4,176
4.176
common_voice_sw_35438912.mp3
huko Cape Town na Port Elizabeth
3,240
3.24
common_voice_sw_37089194.mp3
Hatua ndefu za kikakamavu muda wote akiwa anaangaza macho yake huku na kule
6,840
6.84
common_voice_sw_36319536.mp3
Mkuu wa Tanzania kutoka mwaka elfu moja mia tisa tisini na tano mpaka mwaka
4,680
4.68
common_voice_sw_29388840.mp3
Usingizi huhusisha mabadiliko makubwa katika utendakazi wa ubongo.
5,580
5.58
common_voice_sw_37095088.mp3
kamati ina kitengo cha usimamizi wa shughuli za benki
4,536
4.536
common_voice_sw_35279613.mp3
kampeni mbalimbali kama Maleria na hata katika uchaguzi uliopita mmeona jinsi wasanii walivyokuwa wakitumika
6,768
6.768
common_voice_sw_35279306.mp3
Hip Hop ya Tanzania ilibaki na itabaki vile vile kama ilivyo
4,428
4.428
common_voice_sw_29356397.mp3
Hali hiyo inaweza kutokea kiasili katika mazingira maalumu au kwa kutumia mbinu fulani.
7,020
7.02
common_voice_sw_37093303.mp3
Kudhibiti uchafuzi wa hewa na usimamizi mzuri wa rasilimali
4,284
4.284
common_voice_sw_35102260.mp3
ila kwa sasa wanabadilisha wakusanyaji hali inayosababisha wananchi kuwa wagumu katika kuchangia pesa hizo
8,136
8.136
common_voice_sw_36350012.mp3
umoja wa ulaya umewataka wamiliki wa viwanja vya ndege kuchukuwa hatua madhubuti
6,300
6.3
common_voice_sw_37096483.mp3
waislamu wana nguzo tano za ibada
4,788
4.788
common_voice_sw_36039345.mp3
Japo haimanishi kuwa hakuna wakaliwachoyo na wabahiri Nao wapo japo ni wachache sana
8,748
8.748
common_voice_sw_34992684.mp3
Sijui chochote mimi alimjibu akitoa ziwa kwa ajili ya mtoto wake
5,940
5.94
common_voice_sw_37085965.mp3
Alipata mshtuko wa moyo ghafla
3,888
3.888
common_voice_sw_36035215.mp3
Baada ya wiki moja ya uhamisho tarehe kumi
3,168
3.168
common_voice_sw_35588665.mp3
na kuuliza maana yake na wakamwambia ni sisimizi
4,680
4.68
common_voice_sw_36036462.mp3
na leo kuna ripoti jipya limetoka hivi karibuni kutoka tasi moja ya
6,048
6.048
common_voice_sw_35155411.mp3
ya miti mitubwi na kuingia bara la ulaya
3,888
3.888
common_voice_sw_36387934.mp3
Mtoto wa nyanya.
1,728
1.728
common_voice_sw_35183665.mp3
anaubia na kampuni iliyonunua klabu ya liverpool ya nchini uingereza
6,228
6.228
common_voice_sw_29683572.mp3
Alikuwa mwana wa Hans von Euler-Chelpin.
3,888
3.888
common_voice_sw_29638221.mp3
Mwenyekiti wa kwanza wa kijiji hicho alijulikana kama mzee Abdallah Said.
6,120
6.12
common_voice_sw_35105419.mp3
tumeahidi kuwa tayari kuunga mkono muswada wa fedha
4,176
4.176
common_voice_sw_35152697.mp3
Elimu ya Upili aliisoma kati ya mwaka elfu moja mia tisa sabini na tatu
6,516
6.516
common_voice_sw_36386252.mp3
okeo nimepokea kama vile alivyosema kiongozi wetu kama hakuna aliyemshinda
7,452
7.452
common_voice_sw_36389371.mp3
mwaka elfu moja mia nane thelathini na nne
2,700
2.7
common_voice_sw_36034643.mp3
ambayo watu wengi hususani wanafunzi hujifunza kwa bidii
4,788
4.788
common_voice_sw_36034915.mp3
Kabla yake Yesu alihimiza wote wafuate mfano wake wa upole na
5,400
5.4
common_voice_sw_37094146.mp3
ee nafasi si nzuri na kiasi kwamba mpaka wakajaribu kuterminate mkataba wa mwalimu wao
7,596
7.596
common_voice_sw_36383133.mp3
hiyo wamewataka wananchi kupatiwa chanjo mapema iwezekanavyo
6,192
6.192
common_voice_sw_36036339.mp3
Kauli ile iliamsha hisia za tahadhari kichwani kwa jacob Matata alijua angeweza kutumia nguvu
7,128
7.128
common_voice_sw_29197959.mp3
Ni mwanamke wa kwanza wa Kibantu kupewa heshima hiyo.
4,320
4.32
common_voice_sw_37094328.mp3
Namtumainia Mungu aliye mbinguni.
3,096
3.096
common_voice_sw_37224321.mp3
Hiyo ilikuwa taswira yake ya hadharani
3,168
3.168
common_voice_sw_37225623.mp3
watu wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamepoteza maisha na kwa mujibu
6,120
6.12
common_voice_sw_37224364.mp3
Angalau sentesi mia tano
1,656
1.656
common_voice_sw_36331189.mp3
thamani ya sarafu ilikuwa inalindwa na paundi ya uingereza
4,320
4.32
common_voice_sw_36350224.mp3
Waweza kunipata kwa ukweli?
2,448
2.448
common_voice_sw_29261938.mp3
Katika hali zote mbili, dalili za matatizo ya utumbo huweza kutokea.
6,408
6.408
common_voice_sw_35197219.mp3
Korona ni ugonjwa wa hatari
7,920
7.92