path
stringlengths
28
28
sentence
stringlengths
3
2.13k
duration[ms]
int64
1.19k
10.5k
duration_seconds
float64
1.19
10.5
common_voice_sw_35099370.mp3
serikali ya pakistan imenukuliwa mara kadhaa ikisema mambo ni shwari katika eneo hilo
7,308
7.308
common_voice_sw_29473467.mp3
Mashimo hutokea baada ya elektroni kuondoka.
3,708
3.708
common_voice_sw_36807706.mp3
Hatua za uchanganuzi wa sentensi ni nyingi.
3,528
3.528
common_voice_sw_37223295.mp3
yo basi katika makala yetu ya leo
2,880
2.88
common_voice_sw_35177088.mp3
hebu pita vile au ingia humo ndani ingia humo ndani
4,896
4.896
common_voice_sw_37225498.mp3
Usiiandike hapo
2,196
2.196
common_voice_sw_37225491.mp3
hizi zilizo ndogo na kuwafundisha watu hivyo ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni
5,796
5.796
common_voice_sw_35181524.mp3
Karibu tule leo, siku zimekuwa ndefu
3,240
3.24
common_voice_sw_36386760.mp3
hata akioga bafuni Pia alikuwa mhubiri wa kanisa la kiinjili kabla ya kujiunga na
6,948
6.948
common_voice_sw_36390416.mp3
wazo la lemkin la mauaji ya kimbari lilivunjwa sheria za kimataifa
7,596
7.596
common_voice_sw_29762556.mp3
Ni kati ya mabamba makubwa zaidi duniani.
3,816
3.816
common_voice_sw_36365829.mp3
Baba amewasili.
2,808
2.808
common_voice_sw_36364345.mp3
Ni muhimu kufunika mdomo na pua kwa kitambaa wakati unapokohoa au kupiga chafya
6,192
6.192
common_voice_sw_35155474.mp3
Unga ambapo mitaani hujulikana kama coke
4,716
4.716
common_voice_sw_35155487.mp3
za cocaine halisi na vidonge viwili vya dawa
3,816
3.816
common_voice_sw_36644418.mp3
uliyotokea tu kuzungumza na watu wengine waliokutana
4,500
4.5
common_voice_sw_29593483.mp3
Inafanana na asali.
2,916
2.916
common_voice_sw_35183593.mp3
nipo upande wa kusuka na wewe unaitwa
4,356
4.356
common_voice_sw_35183474.mp3
ni jumapili licha kuelezwa kuwa sumu ya gesi huenda ikaadhiri pakubwa
5,868
5.868
common_voice_sw_35183361.mp3
Mashindano makubwa kwa kushinda mashindano ya kombe la
4,968
4.968
common_voice_sw_35153829.mp3
wengi huishia kutumia vibaya madawa ya kulevya na pombe ili
5,220
5.22
common_voice_sw_35160902.mp3
Unapokuwa katika kampuni jaribu kufuata ishara zako mkono wazi au
7,128
7.128
common_voice_sw_35161017.mp3
la sivyo angewaomba wote wanaounga mkono
5,040
5.04
common_voice_sw_35410039.mp3
iwe kivuli kinachosonda kidole Ujio na kifo cha Yesu ili ije iondolewe pale Kristo
7,560
7.56
common_voice_sw_35154192.mp3
harold bibi alikuwa kwenye kitengo cha mawasiliano
4,968
4.968
common_voice_sw_35165335.mp3
watu wengi wanaendelea kuwa na virusi hivyo mwilini
4,608
4.608
common_voice_sw_35102155.mp3
moja ya michezo ambayo ikuwa ikipiga upato sana hiyo jana
4,896
4.896
common_voice_sw_35105534.mp3
habari ya kupendeza zaidi juu ya asili
3,708
3.708
common_voice_sw_35586762.mp3
Kufuatia hali yake kiafya kuendelea kuwa mbaya mwaka
6,120
6.12
common_voice_sw_36038748.mp3
Aghalabu sentensi hizi hutumia viunganishi
4,248
4.248
common_voice_sw_29779678.mp3
Maneno haya mawili hutumika kwa kubadilishana mara nyingi.
5,508
5.508
common_voice_sw_36383914.mp3
Macho hayana pazia
1,980
1.98
common_voice_sw_35107823.mp3
upungufu wa uchafuzi wa hewa hauathiri ukuzi wa kibiashara
5,580
5.58
common_voice_sw_28969824.mp3
Hiyo ni mada muhimu katika Injili hiyo.
4,716
4.716
common_voice_sw_35179127.mp3
rais kikwete alikuwa akisafiri sana nje ya nchi
3,996
3.996
common_voice_sw_35989576.mp3
Na kuwa kipindi pekee chenye heshima hiyo kabla ya kingine chochote
5,976
5.976
common_voice_sw_36006158.mp3
Siku zote jamii inahitaji mawasiliano kwa ajili ya kufanya shughuli zao
4,068
4.068
common_voice_sw_29613592.mp3
Mfano ni majina ya nyota.
4,140
4.14
common_voice_sw_29539839.mp3
Spishi zote zinatokea Afrika.
3,996
3.996
common_voice_sw_29660320.mp3
Ndilo daraja kubwa katika Afrika ya Mashariki.
4,644
4.644
common_voice_sw_29174916.mp3
Alikuwa Mkristo, tena shemasi wa madhehebu ya Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia.
6,336
6.336
common_voice_sw_29488725.mp3
Hali halisi nyota ni vitu sawa na Jua letu ambalo ni nyota mojawapo.
5,796
5.796
common_voice_sw_37211779.mp3
hizi zinajazwa na rais na waziri mkuu
4,140
4.14
common_voice_sw_35101809.mp3
waliokuwa wamehama wamerejea Serengeti na hasa eneo la Ndutu tayari kuzaa
6,696
6.696
common_voice_sw_35157365.mp3
wala hakuagiza taarifa rasmi juu ya maisha yake
4,500
4.5
common_voice_sw_35221639.mp3
wa Tegetero na Hega akiongoza Utawala wa Uluguru kusini akiwa na makao yake Bwakila
6,948
6.948
common_voice_sw_35221863.mp3
ndivyo ninavyo kualika kwenye makala ya wimbi la siasa
4,500
4.5
common_voice_sw_36032224.mp3
Cocaine imekuwa ikiuzwa na kununuliwa bila kificho
4,176
4.176
common_voice_sw_37224195.mp3
Jina la pili alilopewa la Ronaldo ni la rais wa Marekani
5,976
5.976
common_voice_sw_36037076.mp3
ya kileo njia ya matumizi na ya kati ni mambo muhimu katika
6,120
6.12
common_voice_sw_36037731.mp3
ukubali huo ulipelekea mwitikio usiyofaa wa janga hili
7,236
7.236
common_voice_sw_36041760.mp3
Lililojulikana kama Harakati za kujitambua kwa watu weusi
4,860
4.86
common_voice_sw_36067293.mp3
Rais wa Jamhuri amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu
7,128
7.128
common_voice_sw_36067295.mp3
Alipenda viumbe wengine wa porini
4,356
4.356
common_voice_sw_29626828.mp3
Na sasa hata katika ligi kuu za Uingereza, Hispania, Ufaransa, Italia, Ujerumani nakadhalika.
8,496
8.496
common_voice_sw_36035264.mp3
unyanyapaaji dhidi ya watu wanaohusishwa na suala la virusi vya ukimwi
5,508
5.508
common_voice_sw_29528234.mp3
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na wengineo kama mtakatifu.
4,680
4.68
common_voice_sw_29601051.mp3
Mbinu hii inatumia maji kidogo kulingana na umwagiliaji wa kawaida.
5,256
5.256
common_voice_sw_36038614.mp3
vijana hupuuza maonyo kuhusu madhara ya dawa za kulevya kwa afya
6,156
6.156
common_voice_sw_36042379.mp3
Kinjekitile aliwalaghai mamilioni ya watu wasioelimika
5,760
5.76
common_voice_sw_37084121.mp3
Sugua mikono yako mpaka ikauke na usijiguse milango ya faham kwa mikono isiyooshwa
7,920
7.92
common_voice_sw_29526901.mp3
Michezo mbalimbali ya kuchezea mpira inaweza kupatikana katika kila uwanja wa jiografia na historia.
7,308
7.308
common_voice_sw_37089158.mp3
Mwaka elfu moja mia saba tisini na saba
3,024
3.024
common_voice_sw_29515722.mp3
Uko kwenye mdomo mpana wa mto Saint John.
4,068
4.068
common_voice_sw_29583853.mp3
Ndiyo asili ya sikukuu ya Krismasi.
3,348
3.348
common_voice_sw_35250564.mp3
basi wanapata mwafaka ama suluhu
3,168
3.168
common_voice_sw_35279190.mp3
Hata hivyo nimezungumza na mmoja wa wamiliki wa viwanda kutoka Tanzania
5,076
5.076
common_voice_sw_34991785.mp3
ulio kwenye nyanda za juu kusini magharibi mwa China
4,536
4.536
common_voice_sw_29539276.mp3
Kwa mfano, nadharia ya utafiti.
3,276
3.276
common_voice_sw_34992008.mp3
ndio tulikuwa na mke wa askofu akio
4,428
4.428
common_voice_sw_36384221.mp3
Kutokana na hadithi ambazo wazee wa Bambi, Uzini, Fukuchani, Chukwani.
7,848
7.848
common_voice_sw_35164890.mp3
na hebu pata wimbo kutoka bob marley
4,176
4.176
common_voice_sw_35161042.mp3
si kwamba huyu utawala wa kimabavu amba ambapo
5,148
5.148
common_voice_sw_35161022.mp3
aa imekuwa ni kawaida pale ambapo unapokwenda kinyume na masuala mbalimbali
6,156
6.156
common_voice_sw_36318656.mp3
Usipo soma hatuwezi kupata pesa
2,520
2.52
common_voice_sw_35105417.mp3
waweze kufuata maagizo ya Serikali yanayotoa elimu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya
7,488
7.488
common_voice_sw_37096488.mp3
Mwema Wakutuhurumia
2,448
2.448
common_voice_sw_36382636.mp3
jangwa hilo kubwa Lakini mawasiliano yalikuwepo na sehemu za Ulaya Kusini
5,868
5.868
common_voice_sw_35102742.mp3
madhara yaliyosababishwa na uchafuzi wa
3,888
3.888
common_voice_sw_36384181.mp3
Kiingereza pia ni lugha nzuri
3,240
3.24
common_voice_sw_37084254.mp3
jina la mtu fulani ni cheo cha wafalme wote wa Ethiopia hadi mwaka elgu
5,976
5.976
common_voice_sw_35181587.mp3
husajiliwa kwa kunakili madaftari ya familia yanayojenga ukoo husika Nakala ya madaftari haya hukaa
9,216
9.216
common_voice_sw_36106191.mp3
Nitasimama hapa hadi waje wote.
3,096
3.096
common_voice_sw_36044410.mp3
redio zingine hazisikiki mbali kama zingine
4,788
4.788
common_voice_sw_37329851.mp3
mawaziri na wataalamu wa kiufundi watafanya kazi kwa kasi kuhakikisha
5,688
5.688
common_voice_sw_36013973.mp3
ilitekwa nyara jana usiku katika bahari ya arabia
6,048
6.048
common_voice_sw_37229914.mp3
Saikolojia Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha BangaloreIndiaMwaka elfu mbili na
6,228
6.228
common_voice_sw_35152447.mp3
tarehe kumi mwezi wa kumi na mbili
3,420
3.42
common_voice_sw_35156032.mp3
Pia alimtaka mkandarasi kuleta vifaa vya kutosha pamoja na wataalamu wa kutosha ili mradi
7,308
7.308
common_voice_sw_37224540.mp3
yanachangia watoto wa nchi hiyo kuwa wakimbizi katika nchi za ughaibuni
5,688
5.688
common_voice_sw_36013669.mp3
mtu aliyepatikana na virusi vya ukimwi anaweza kufa mapema
5,220
5.22
common_voice_sw_28981337.mp3
Maendeleo hayo, baada ya kubadilishwa kwa miaka kadhaa inajumuisha.
4,716
4.716
common_voice_sw_36389778.mp3
mia tisa hamsini na mbili alichaguliwa na Halmashauri ya Kisheria kuwa waziri mkuu wa
4,788
4.788
common_voice_sw_29578617.mp3
Sehemu ya magharibi ni maji safi, wakati nusu ya mashariki ni ya chumvi.
5,976
5.976
common_voice_sw_35990598.mp3
ambao tunawaita mitume Hakika alikuwa na maana kufanya hivyo
6,120
6.12
common_voice_sw_29521141.mp3
Upande wa pili sala ni kutafakari ili kusikiliza na kuelewa ujumbe wa Mungu.
5,940
5.94
common_voice_sw_35132731.mp3
kiasi cha fedha za kigeni kinatoa imani kwa wawekezaji
4,968
4.968
common_voice_sw_35183888.mp3
ya mwaka elfu mbili na kumi na mbili
3,240
3.24
common_voice_sw_29762739.mp3
Kati ni kipimo cha mwelekeo wa kati.
4,140
4.14
common_voice_sw_36032461.mp3
wendelezo wa ndege hizi kufanya mashambulizi unakuja
5,220
5.22