path stringlengths 28 28 | sentence stringlengths 3 2.13k | duration[ms] int64 1.19k 10.5k | duration_seconds float64 1.19 10.5 |
|---|---|---|---|
common_voice_sw_35681315.mp3 | Nataka kuku | 3,456 | 3.456 |
common_voice_sw_36464995.mp3 | Unitumie hiyo picha nilipiga jana | 5,400 | 5.4 |
common_voice_sw_37229764.mp3 | Ambapo kila mtu katika jamii hufunzwa kuwahudumia watu waliopo katika jamii yake | 5,868 | 5.868 |
common_voice_sw_37229687.mp3 | Usisahau kuwapa kuku chakula | 3,420 | 3.42 |
common_voice_sw_37224738.mp3 | ametangaza kamati ambayo itasimamia | 2,880 | 2.88 |
common_voice_sw_35178924.mp3 | Waliwasiliana kwa kuulizana maswali kuwa kwanini walimuacha Jacob amerudi Dar akiwa hai | 7,020 | 7.02 |
common_voice_sw_35179140.mp3 | altitude mia tano mpaka meta elfu moja | 3,456 | 3.456 |
common_voice_sw_29765906.mp3 | Zinaonyesha hasa wachezaji wa kike wakati wa kucheza katika ibada mbele ya miungu. | 8,280 | 8.28 |
common_voice_sw_29623344.mp3 | Jina hilo linatokana na neno la kwanza la wimbo huo katika tafsiri ya Kilatini. | 7,560 | 7.56 |
common_voice_sw_29613257.mp3 | Wanatokea katika kanda za wastani hadi tropiki. | 6,048 | 6.048 |
common_voice_sw_29037387.mp3 | Alianzisha maabara ya kemia ya kwanza ya chuo hiki. | 4,680 | 4.68 |
common_voice_sw_28886708.mp3 | Nyumba ni kubwa kutosha kwa familia ya watu sita. | 5,760 | 5.76 |
common_voice_sw_28819429.mp3 | Inajulikana pia kwa soko lake kubwa la nje, Soko la Saba-Kilomita. | 7,308 | 7.308 |
common_voice_sw_36013796.mp3 | Mwanamwali yule. | 2,376 | 2.376 |
common_voice_sw_30129127.mp3 | Wairaqw na Wambulu wanaongezeka pia Waisanzu na Waisenye | 4,680 | 4.68 |
common_voice_sw_36037248.mp3 | Mbwa yule alikimbizwa na paka | 3,348 | 3.348 |
common_voice_sw_36036723.mp3 | Kuhusu matukio kwa binadamu ugonjwa haujawa mkali kwani watu kama Mia tatu na themanini | 7,596 | 7.596 |
common_voice_sw_36033559.mp3 | hakuna mahali unakoweza kupita ukawakuta Watanzania wanajivunia michezo ni kama vile kila kitu kimekufa | 7,236 | 7.236 |
common_voice_sw_35176539.mp3 | mfumuko wa bei mbona umekuwa juu zaidi sukari inauzwa elfu mbili | 5,688 | 5.688 |
common_voice_sw_35177719.mp3 | Karatasi ni nyeusi sana. | 2,448 | 2.448 |
common_voice_sw_35178230.mp3 | wanasiasa hao waliongozwa na aliyekuwa waziri wa fedha wa nchi yake adams roma | 6,156 | 6.156 |
common_voice_sw_35586800.mp3 | wataadhibiwa kwa kutekeleza sheria za rwanda za makosa ya jinai wanaostahili kusaidiwa ni yatima | 8,208 | 8.208 |
common_voice_sw_36078376.mp3 | Wafanyabiashara kama Tippu Tip waliokuwa raia wa Usultani | 6,588 | 6.588 |
common_voice_sw_35114765.mp3 | utaratibu huo hali inayosababisha kutochangia pesa hizo kwa wakati | 5,076 | 5.076 |
common_voice_sw_29728137.mp3 | Jina limetokana na lile la Kireno la Mtakatifu Thoma. | 5,436 | 5.436 |
common_voice_sw_36038879.mp3 | kaitka kisiwa hicho cha madagascar | 2,988 | 2.988 |
common_voice_sw_29174737.mp3 | Kuweka lynching ni sehemu kamili ya mchezo. | 4,860 | 4.86 |
common_voice_sw_28962066.mp3 | Sawa na suala la ugonjwa, hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya. | 5,688 | 5.688 |
common_voice_sw_28961556.mp3 | Katika itikadi ile hifadhi ya mazingira haikuwa na umuhimu sana. | 4,896 | 4.896 |
common_voice_sw_28927238.mp3 | Alipata digrii ya Mawasiliano kutoka Chuo Kikuu cha Florida "University of South Florida". | 6,696 | 6.696 |
common_voice_sw_36042496.mp3 | Maeneo huru ambayo ni maeneo makubwa yenye watu | 4,716 | 4.716 |
common_voice_sw_36036870.mp3 | wafanyikazi elfu moja mia tano walishiriki katika ujenzi wa titanic | 5,256 | 5.256 |
common_voice_sw_36013991.mp3 | Ni kipi kikusikitishacho. | 2,520 | 2.52 |
common_voice_sw_35115281.mp3 | na wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema dalili | 3,888 | 3.888 |
common_voice_sw_35103342.mp3 | Vita vya Maji Maji vilianza mwaka elfu moja mia tisa na tano | 4,536 | 4.536 |
common_voice_sw_35177682.mp3 | Mambo yalianza kubadilika na nadhani kwa sababu ya wakati pia | 5,148 | 5.148 |
common_voice_sw_35115360.mp3 | hukotano Eneo la Wamasai lilifikia kilele cha ukubwa wake katikati ya karne ya | 6,300 | 6.3 |
common_voice_sw_36637241.mp3 | anaelezea ni namna gani familia yake iliweza kumtenga | 3,636 | 3.636 |
common_voice_sw_36637166.mp3 | Mtu kwenda sipitali, ni kutojuwa yakini, | 3,276 | 3.276 |
common_voice_sw_29597227.mp3 | Sikukuu hii haina tarehe thabiti katika kalenda ya kawaida. | 4,680 | 4.68 |
common_voice_sw_29613982.mp3 | Mama yake aliweka jina jipya kwa kuokoa maisha ya mtoto. | 3,708 | 3.708 |
common_voice_sw_29618615.mp3 | Seli nyeupe hufanya kama askari wa mwili. | 3,528 | 3.528 |
common_voice_sw_36037462.mp3 | kiongozi huyo ambaye yupo karibu na rais hamid karzai | 3,816 | 3.816 |
common_voice_sw_36034927.mp3 | Botswana haina pwani kwenye bahari yoyote | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_35990500.mp3 | kwa binadamu tu wa kawaida ambaye anaenda kazini kila siku | 5,688 | 5.688 |
common_voice_sw_29153195.mp3 | Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini. | 8,928 | 8.928 |
common_voice_sw_30568040.mp3 | Serengeti ina miinuko ya inayojulikana kama koppes | 7,488 | 7.488 |
common_voice_sw_36389880.mp3 | lakini kwa sasa ameitaka juhudi za kupitisha bajeti | 3,816 | 3.816 |
common_voice_sw_36310686.mp3 | aliyewahii kuwa waziri wa ulinzi wa jamhuri ya afrika | 4,248 | 4.248 |
common_voice_sw_35164210.mp3 | kwa kila kilometa moja ya mraba | 5,148 | 5.148 |
common_voice_sw_29488455.mp3 | Lakini basi, wakazi wanaweza pia kuleta mipango maalum ya maendeleo. | 4,608 | 4.608 |
common_voice_sw_29488345.mp3 | Hakuna njia yoyote ya kupunguza hatari hii wakati wa kuzaa. | 4,860 | 4.86 |
common_voice_sw_36037355.mp3 | Kapteni Tom von Prince alijenga kambi mpya karibu na Kalenga mkoani Iringa | 5,400 | 5.4 |
common_voice_sw_36037133.mp3 | ni saa kumi na mbili na dakika nane afrika mashariki | 2,916 | 2.916 |
common_voice_sw_36036622.mp3 | Ilikuwa ni suala na kuwatoa nje Waingereza na kuwanyamanzisha kutokana na vita vyao | 5,508 | 5.508 |
common_voice_sw_36036652.mp3 | au sio kwamba na wewe unashiriki kwenye yale matukio | 3,888 | 3.888 |
common_voice_sw_36615996.mp3 | Nadharia hii hutumia kigezo ha msamiati wa Kiswahili | 5,760 | 5.76 |
common_voice_sw_29453433.mp3 | Athari nyingine ilikuwa desturi ya kuoa wake wa kigeni. | 3,816 | 3.816 |
common_voice_sw_29118225.mp3 | Wakati huohuo utawala wake juu ya makoloni ulianza kuporomoka. | 8,280 | 8.28 |
common_voice_sw_35989701.mp3 | msaada unaotolewa na Abu Dhabi hasa kutokana na mapato | 5,796 | 5.796 |
common_voice_sw_29675061.mp3 | Baadaye walipata silaha wakawa viongozi mara moja katika maeneo ya Ziwa Nyasa na pwani. | 5,868 | 5.868 |
common_voice_sw_35169180.mp3 | ya lugha za Kihindi iliongezeka kiasi baada ya | 6,408 | 6.408 |
common_voice_sw_35155013.mp3 | kutokana na maradhi ya kisukari na uvimbe kwenye Kongosho Bi Kidude amekuwa katika fani | 8,316 | 8.316 |
common_voice_sw_36390689.mp3 | Nyumba ya mwalimu ilichomwa | 2,772 | 2.772 |
common_voice_sw_36252662.mp3 | Angalia sasa tofauti hii kubwa kati ya Marekani | 3,780 | 3.78 |
common_voice_sw_36034858.mp3 | Usafi wa mazingira unahusu pia udumishaji wa ratiba ya usafi | 4,860 | 4.86 |
common_voice_sw_36036173.mp3 | watu waliyokufa kwenye meli walikuwa takiribu watu elfu moja mia tano | 7,848 | 7.848 |
common_voice_sw_29589347.mp3 | Falme za Kiarabu zimekuwa nchi tajiri kutokana na akiba kubwa za mafuta ya petroli. | 7,416 | 7.416 |
common_voice_sw_35172687.mp3 | mini kwa kufanya hivyo kutafungua mioyo mioyo ya wananchi hao | 5,256 | 5.256 |
common_voice_sw_35101816.mp3 | Kuja hapa sasa hivi | 2,520 | 2.52 |
common_voice_sw_36381828.mp3 | Dada yangu ameshinda tuzo kubwa sana | 3,420 | 3.42 |
common_voice_sw_36363974.mp3 | kupigania hari ya demokrasia nchini tunisia | 3,708 | 3.708 |
common_voice_sw_29739505.mp3 | Muundo wake hufuata muundo wa bendera ya kifalme. | 4,356 | 4.356 |
common_voice_sw_29596350.mp3 | Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Uswidi. | 4,896 | 4.896 |
common_voice_sw_35774655.mp3 | Napenda roho yake | 2,520 | 2.52 |
common_voice_sw_35165087.mp3 | na nitakika mwelekeo huo ndio utunaiona cote dvoire | 7,488 | 7.488 |
common_voice_sw_29469977.mp3 | Uko upande wa kusini-magharibi ya nchi. | 4,284 | 4.284 |
common_voice_sw_29572641.mp3 | Iko katika Mashariki ya nchi. | 4,428 | 4.428 |
common_voice_sw_29523073.mp3 | Wakati huu alifanya kazi ya usiku kama mlinzi wa nyumba kwa kujipatia riziki. | 7,524 | 7.524 |
common_voice_sw_29227040.mp3 | Sehemu za kinywa za wadudu hawa ni sahili. | 5,688 | 5.688 |
common_voice_sw_29421692.mp3 | Wengi pia ni Wakristo. | 4,140 | 4.14 |
common_voice_sw_36039609.mp3 | ya wakulima waliendelea kukaa chini ya utawala wa makabailaKatika sehemu ya pili ya | 5,220 | 5.22 |
common_voice_sw_36032555.mp3 | Bwana anagusa nyumba yako | 2,268 | 2.268 |
common_voice_sw_29676211.mp3 | Mara nyingi neno hili hutumika na watu wa pwani na wavuvi. | 6,660 | 6.66 |
common_voice_sw_35987947.mp3 | Uajemi iliwahi kuwa na dini zake za Uzoroasta na Umani | 6,300 | 6.3 |
common_voice_sw_35115878.mp3 | sisi naita siku kama hii hiddul idd el hajj | 5,256 | 5.256 |
common_voice_sw_29575879.mp3 | Kadiri ya mapokeo alizaliwa barani Afrika. | 3,528 | 3.528 |
common_voice_sw_35167142.mp3 | uchapishwe katika gazeti moja la sweden | 4,608 | 4.608 |
common_voice_sw_35116165.mp3 | hana nauli ya ndege tuko tayari kufika pale | 3,888 | 3.888 |
common_voice_sw_36642666.mp3 | Ana majuto baada ya kuacha shule | 2,520 | 2.52 |
common_voice_sw_36642164.mp3 | na Amerika ya Kaskazini imesalia kuwa tishio huko Asia | 5,328 | 5.328 |
common_voice_sw_36642420.mp3 | anaingia ndani ya maji katika bwawa lililokuwa likiunganisha mito mitatu | 5,508 | 5.508 |
common_voice_sw_36387277.mp3 | Meza imechafuka sana. | 2,448 | 2.448 |
common_voice_sw_35166266.mp3 | na kwa njia ya amani kufanya kampeni ili wapate | 4,788 | 4.788 |
common_voice_sw_36384891.mp3 | ametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa | 5,364 | 5.364 |
common_voice_sw_36617642.mp3 | Ataanza kuagwa katika jiji la Dar es Salaam na kufuatiwa na mikoa mingine | 6,228 | 6.228 |
common_voice_sw_36617590.mp3 | dalili ya ukimwi ni maumivu ya koo na kichwa yanayodumu kwa muda mrefu | 6,588 | 6.588 |
common_voice_sw_36617468.mp3 | teksi na kumwelekeza dereva mahali ninapokwenda na kama dakika arobaini hivi nafika hotelini kwao | 7,308 | 7.308 |
common_voice_sw_36617385.mp3 | Mgeni ameenda. | 2,196 | 2.196 |
common_voice_sw_37084903.mp3 | wa uendeshaji wa serikali kwa sababu | 4,896 | 4.896 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.