path stringlengths 28 28 | sentence stringlengths 3 2.13k | duration[ms] int64 1.19k 10.5k | duration_seconds float64 1.19 10.5 |
|---|---|---|---|
common_voice_sw_35183628.mp3 | mwaka elfu moja mia tisa sitini na tano Kanali Mkuu wa Jeshi | 5,220 | 5.22 |
common_voice_sw_36386512.mp3 | kwa sabuni kutoka kwa kufulia na kusababisha eutrophication ya maji | 5,040 | 5.04 |
common_voice_sw_29295729.mp3 | Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Yohane. | 4,536 | 4.536 |
common_voice_sw_36645046.mp3 | Tutaendelea kuteseka kutokana na milipuko ya magonjwa ambayo hayaeleweki | 4,896 | 4.896 |
common_voice_sw_29630964.mp3 | Katika sehemu nyingine ya mwaka mito yote inaonekana kama kanda la barafu. | 6,768 | 6.768 |
common_voice_sw_29610359.mp3 | Wanatumia udongo na nyuzi za mimea kwa ujenzi. | 4,356 | 4.356 |
common_voice_sw_36004950.mp3 | vijana mamilioni waliajiriwa na serikali kwa kazi ya | 4,356 | 4.356 |
common_voice_sw_36637145.mp3 | wengi wameuliza kweli mpaka sasa serikali iko ndiyo | 3,960 | 3.96 |
common_voice_sw_36637125.mp3 | mashindano hayo Ni katika tamasha hilo ndipo vipaji vingine vilipoibuka wakiwemo wasanii kama nigga | 8,028 | 8.028 |
common_voice_sw_36037573.mp3 | aza la mawaziri ni chombo muhimu kinaachomshauri | 3,780 | 3.78 |
common_voice_sw_36037072.mp3 | wafanyakazi hawakuweza kuandaa vifaa vyote vinavyookoa maisha | 3,528 | 3.528 |
common_voice_sw_36644341.mp3 | mgonjwa anaweza kupoteza uzito kupita kiasi | 3,348 | 3.348 |
common_voice_sw_36384231.mp3 | polisi kadhaa wamepoteza maisha kwa kuuwawa na wanachama bokharam | 5,436 | 5.436 |
common_voice_sw_29610821.mp3 | Baba yake alikua mtu maarufu katika masaala ya vyombo vya habari. | 5,400 | 5.4 |
common_voice_sw_29632707.mp3 | Lakini katika Ukristo upendo hauna mipaka wala masharti. | 4,536 | 4.536 |
common_voice_sw_35182307.mp3 | ni lazima tuweze kutambua kwamba | 2,628 | 2.628 |
common_voice_sw_29164914.mp3 | Manisipaa ya Shinyanga ni sawa na Wilaya ya Shinyanga Mjini. | 7,200 | 7.2 |
common_voice_sw_37216358.mp3 | Miongoni mwao ni mashujaa wanane wa Soviet Union | 4,176 | 4.176 |
common_voice_sw_36033395.mp3 | agenda mbalimbali zinatarajiwa kuwekwa mezani kwa mjadala mzito | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_35115801.mp3 | bado hajaondoka katika cheo chake | 3,168 | 3.168 |
common_voice_sw_36040148.mp3 | Dhidi ya tawala za kibepari huko Amerika ya Kusini na Afrika | 5,040 | 5.04 |
common_voice_sw_35989689.mp3 | aliyekuwa mkurugenzi wa sipitali moja nchini uingereza saida kame | 6,048 | 6.048 |
common_voice_sw_29708313.mp3 | Mfalme wa Buganda anatumia cheo cha Kabaka. | 3,600 | 3.6 |
common_voice_sw_35100470.mp3 | Lady Jay Dee Matamasha makubwa aliyofanya Akizungumza na Starehe meneja wa msanii huyo Gadna | 8,640 | 8.64 |
common_voice_sw_36035662.mp3 | Karafuu hutumiwa kama kiungo cha chakula | 2,988 | 2.988 |
common_voice_sw_36036215.mp3 | Rais anataka kujielekeza zaidi katika kukuza mchango wa sekta binafsi | 4,860 | 4.86 |
common_voice_sw_35168767.mp3 | hivyo licha ya tukio hilo shughuli za bunge | 3,528 | 3.528 |
common_voice_sw_36033080.mp3 | ulimwenguni shughuli za wanadamu huchangia pakubwa | 4,140 | 4.14 |
common_voice_sw_35221670.mp3 | Karani wangu ni kioo cha jamii. | 2,988 | 2.988 |
common_voice_sw_35214150.mp3 | changamoto nyingine ni ukosefu wa mapato ya serikali | 3,996 | 3.996 |
common_voice_sw_35990044.mp3 | programu zinalenga katika mambo yenye mantiki | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_29727637.mp3 | Hata hivyo idadi ya wasemaji inaendelea kukua. | 3,960 | 3.96 |
common_voice_sw_36382385.mp3 | Lakini ukubwa wao hauufikii wa kiumbe alieletwa duniani kwa ajili ya mziki huo | 7,560 | 7.56 |
common_voice_sw_36382344.mp3 | Hivi sasa uelewa wa jamii umeongezeka na masuala ya mazingira yanapewa kipaumbele | 7,056 | 7.056 |
common_voice_sw_36641361.mp3 | edith aliandika barua kwa rafiki yake | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_36617540.mp3 | Tutaonana kesho majaliwa | 2,880 | 2.88 |
common_voice_sw_35250273.mp3 | Bila kufungwa na timu yoyote kando na kujitokeza kwake kama | 4,788 | 4.788 |
common_voice_sw_35221723.mp3 | Undewa na mengineyo yafananayo na hayo nyimbo za kikabila za kimila kusali kusheherekea Ni | 8,208 | 8.208 |
common_voice_sw_29211515.mp3 | Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka kabisa. | 3,960 | 3.96 |
common_voice_sw_35116225.mp3 | ngoza akiwa na pointi mia mbili arobaini na sita | 4,248 | 4.248 |
common_voice_sw_37802355.mp3 | Kwa wanyama waliokua ugonjwa wa miguu na midomo si hatari sana sababu wengi hupona | 6,048 | 6.048 |
common_voice_sw_37095830.mp3 | natumai kuwa hauna neno karibu katika jukwaa la michezo jina langu | 4,428 | 4.428 |
common_voice_sw_35154732.mp3 | kuingia dini ya Uyahudi karne ziliyotangulia | 4,536 | 4.536 |
common_voice_sw_29472860.mp3 | ni jina la kundinyota karibu na ikweta ya anga. | 3,096 | 3.096 |
common_voice_sw_35181978.mp3 | kitu ambacho kingetokea kwenye safari hiyo hakikujulikana | 5,400 | 5.4 |
common_voice_sw_36383109.mp3 | wala sio na wale ambao angewasikia yeye | 4,500 | 4.5 |
common_voice_sw_35166630.mp3 | makazi especially wakati sasa tunaenda | 4,788 | 4.788 |
common_voice_sw_36383087.mp3 | franca prentice alichukuliwa na mashua ya kuokolea | 5,436 | 5.436 |
common_voice_sw_36382803.mp3 | Ni majengo ambayo yanabeba historia nzima ya tawala za mwambao wa Afrika mashariki | 8,100 | 8.1 |
common_voice_sw_36382778.mp3 | na wanaoishi kwa kutegemea nyama damu na maziwa | 5,400 | 5.4 |
common_voice_sw_37093403.mp3 | mchambuzi wa mambo akiwa pale kenya wahito habari ya leo | 4,608 | 4.608 |
common_voice_sw_35167509.mp3 | Maisha ya Sayyid Said alikuwa Sultani wa Omani | 5,220 | 5.22 |
common_voice_sw_35279224.mp3 | Japo alitaka lakini hakuwa na muda wa kurekebisha zile hatua sakafuni | 4,536 | 4.536 |
common_voice_sw_35182313.mp3 | Kwa sasa wapenda soka duniani wameelekeza macho na masikio yao kwenye michuano ya Euro | 6,156 | 6.156 |
common_voice_sw_35165891.mp3 | moja ya wakaazi wa jiji la dar es slaam | 3,096 | 3.096 |
common_voice_sw_35165716.mp3 | muziki rfi u hali gani mpenzi msikilizaji | 4,716 | 4.716 |
common_voice_sw_36732090.mp3 | ati democrat wakishinda viti mia moja | 3,708 | 3.708 |
common_voice_sw_36034212.mp3 | alijitokeza kwake katika umbile la nyoka | 3,996 | 3.996 |
common_voice_sw_36032159.mp3 | zina nafasi kweli katika ushindani huu | 3,276 | 3.276 |
common_voice_sw_37095297.mp3 | Yenye idadi kubwa ya watu weusi katika taifa la Afrika Kusini | 5,688 | 5.688 |
common_voice_sw_36642233.mp3 | o wananchi wa guinea walitegemea kuanza kupata matokeo hayo ifikapo jumatano | 6,480 | 6.48 |
common_voice_sw_35163892.mp3 | Imani juu yake Waumini wake wanaunda Kanisa la Kikristo | 6,300 | 6.3 |
common_voice_sw_29226964.mp3 | Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Daeng iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi. | 8,640 | 8.64 |
common_voice_sw_29495301.mp3 | Kwa sababu ya milima ya Anti-Lebanon, kuna mvua chache mjini. | 4,860 | 4.86 |
common_voice_sw_29334095.mp3 | Rangi ya madume ni kahawia hadi nyeusi, rangi ya majike ni kahawia. | 5,580 | 5.58 |
common_voice_sw_36388883.mp3 | ya milki ilikuwa Uislamu hata kama katika maeneo | 4,500 | 4.5 |
common_voice_sw_36390687.mp3 | Kuna wakati wa giza | 2,700 | 2.7 |
common_voice_sw_36384848.mp3 | benki kuu inatoa taarifa sahihi kuhusu mzunguko wa fedha | 4,392 | 4.392 |
common_voice_sw_36106572.mp3 | yanayolenga kumuunga mkono rais alasan watera | 5,400 | 5.4 |
common_voice_sw_37094143.mp3 | Sabato haikufanyika kwa ajili ya wana wa Israeli pekee bali kwa ajili ya Adam | 6,120 | 6.12 |
common_voice_sw_36040673.mp3 | majukumu ya bodi ni kupanga sera ya uchumi wa nchi | 3,780 | 3.78 |
common_voice_sw_36037889.mp3 | benki kuu inaweza kupunguza fedha kwenye mzunguko | 3,888 | 3.888 |
common_voice_sw_37224477.mp3 | Hasi ya viongozi hawa wawili juu ya Muungano ndiyo ikazaa mambo mengi | 5,868 | 5.868 |
common_voice_sw_28962051.mp3 | Kuna shule za msingi tano, moja kwa kila kijiji. | 4,356 | 4.356 |
common_voice_sw_28874113.mp3 | Njia nyingine ya kutokea kwa milima ni volkeno. | 6,228 | 6.228 |
common_voice_sw_36384560.mp3 | Mtakatifu ni wewe Mungu. | 2,268 | 2.268 |
common_voice_sw_37222814.mp3 | Latifa akaangalia juu akamwona nyoka. | 3,456 | 3.456 |
common_voice_sw_37225855.mp3 | wataumana na blackburn rovers westham united | 7,488 | 7.488 |
common_voice_sw_36807621.mp3 | Kuna vidole kumi kwa mkono mmoja | 2,808 | 2.808 |
common_voice_sw_36310859.mp3 | Chuo cha Aleksandria kimekuwa mwanzo wa elimu ya juu katika Ukristo | 5,688 | 5.688 |
common_voice_sw_35963925.mp3 | wafanyikazi wa bei rahisi katika Ulaya Magharibi Kusikia | 4,860 | 4.86 |
common_voice_sw_35132750.mp3 | Emmanuel ni mrefu | 2,196 | 2.196 |
common_voice_sw_29163967.mp3 | Hata wakati ambapo idadi yao ilikuwa ndogo duniani, imani yao ilikuwa na athira kubwa. | 6,840 | 6.84 |
common_voice_sw_36043082.mp3 | watu walianza kuambukizwa magonjwa ya zinaa | 4,068 | 4.068 |
common_voice_sw_36037564.mp3 | Nikule na wewe kila wakati | 3,168 | 3.168 |
common_voice_sw_36013945.mp3 | Uingereza itaendelea kufuata kanuni za umoja huo ili | 7,308 | 7.308 |
common_voice_sw_36013849.mp3 | Watu wa ghorofani ni wazuri | 3,060 | 3.06 |
common_voice_sw_36013775.mp3 | Mkate ulinunuliwa jana. | 2,520 | 2.52 |
common_voice_sw_36036722.mp3 | Nipeleke jijini kwa duka kuu. | 3,708 | 3.708 |
common_voice_sw_36036630.mp3 | Wangejua wewe ni nani | 2,808 | 2.808 |
common_voice_sw_36036381.mp3 | nguzo za asili zimetokana na mmomonyoko wa udongo | 4,140 | 4.14 |
common_voice_sw_37224530.mp3 | Kuliko kuwalazimisha watoto kufanya vitu ambavyo sio mapenzi yao | 7,236 | 7.236 |
common_voice_sw_36033207.mp3 | Jamhuri za shirikisho kujiamulia lugha rasmi ya nyongeza kwa eneo lao pamoja | 8,640 | 8.64 |
common_voice_sw_29514911.mp3 | Katikati kuna alama ya rangi dhahabu ya taji lenye nyota saba. | 5,796 | 5.796 |
common_voice_sw_37089618.mp3 | nne thelathini na watatu wakiwemo wahudumu | 4,356 | 4.356 |
common_voice_sw_36464899.mp3 | alikuwa Origene ambaye baadaye akapewa uongozi wa chuo hicho | 9,288 | 9.288 |
common_voice_sw_36390780.mp3 | Aliumia ubongo | 1,944 | 1.944 |
common_voice_sw_37095822.mp3 | kwa mawimbi ya tsunami hapo kesho kuanzia kesho | 4,356 | 4.356 |
common_voice_sw_36375003.mp3 | ni baadhi ya walioathirika na hofu dhidi ya Wamasai | 3,996 | 3.996 |
common_voice_sw_36374766.mp3 | Umeinua kutoka katika hali ya kawaida hadi katika hali ya kisasa zaidi | 6,300 | 6.3 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.