path
stringlengths
28
28
sentence
stringlengths
3
2.13k
duration[ms]
int64
1.19k
10.5k
duration_seconds
float64
1.19
10.5
common_voice_sw_37094076.mp3
Mimi ni mwalimu wa kiswahili
3,636
3.636
common_voice_sw_35153880.mp3
Mabadiliko ya kisiasa nchini humo yameboresha biashara na mawasiliano
5,400
5.4
common_voice_sw_37096746.mp3
Vipo vya kuvumilia, lakini sio mapenzi
3,924
3.924
common_voice_sw_35438801.mp3
tanzania ina mbuga nyingi sana za wanyama
4,248
4.248
common_voice_sw_35104950.mp3
watatu wa muziki walikuwa wameajiriwa kwenye meli ya titanic
5,760
5.76
common_voice_sw_35153827.mp3
Bunge liliteuliwa mwaka elfu mbili kumi na nne
7,596
7.596
common_voice_sw_29699104.mp3
Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake.
3,456
3.456
common_voice_sw_29192632.mp3
Mbele ya sheria kila mtu ana haki ya kutambulika kama mtu.
5,220
5.22
common_voice_sw_37097046.mp3
mwandishi wa habari william stead alikuwa miongoni mwa abiria wa titanic
4,068
4.068
common_voice_sw_29758238.mp3
Mara nyingi lugha ya kamusi hizi si tena Kiswahili cha kisasa.
4,680
4.68
common_voice_sw_30351364.mp3
kiongozi wa vita vya majimaji alikuwa ni Kinjekitile ngwale
5,436
5.436
common_voice_sw_35377270.mp3
na ukisha ongeza unene tu kupita kiasi kwa kula wanga mwingi
5,688
5.688
common_voice_sw_29405888.mp3
Hakuna majibu rahisi.
2,700
2.7
common_voice_sw_36299734.mp3
Mungu kwanza Mtume anayekumbukwa sana kule India ni Thoma
6,228
6.228
common_voice_sw_36383672.mp3
Awali palikuwa ni eneo la soko la watumwa
3,348
3.348
common_voice_sw_36310774.mp3
motors za nje mwisho wa safari tulikuwa
3,888
3.888
common_voice_sw_37084539.mp3
hatima yake ni serikali ndio itafikia maamuzi ya kisheria
5,076
5.076
common_voice_sw_35163884.mp3
Wakati wake Mungu si kama binadamu.
3,888
3.888
common_voice_sw_37331965.mp3
Ulaji wa chakula kilichoambukizwa na viini vinavyosababisha tatizo hili
5,976
5.976
common_voice_sw_36252899.mp3
ni mamake ahmed kalian mkubwa said abdallah akihojiwa
5,148
5.148
common_voice_sw_37331814.mp3
kongosho kuvimba
2,160
2.16
common_voice_sw_35989126.mp3
Wamepoteza utamaduni wao kwa kuiga mila na tamaduni za kimagharibi
5,508
5.508
common_voice_sw_37230001.mp3
kidogo watu wanafikiria kwa nchi za afrika mashariki hasa tanzania
5,580
5.58
common_voice_sw_35132734.mp3
esema baada yakumaliza kutangaza majimbo kadhaa kama ishirini na tatu hivi
6,300
6.3
common_voice_sw_36043378.mp3
kwenye muziki jumaa hii leo tutawaangalia baadhi ya wanawake ambao wamefanya vizuri
6,840
6.84
common_voice_sw_35123649.mp3
kutokana na maendeleo ya kijamii na viwandani
3,816
3.816
common_voice_sw_36037036.mp3
vyakulaUkienda kwenye mikoa hiyo utakuta wamejenga jamii zao na vyama vyao vya kusaidiana
7,668
7.668
common_voice_sw_35105573.mp3
yeyote nyumbani Ndiyo sababu wanahisi upweke na hawataki kuwa
5,400
5.4
common_voice_sw_37229696.mp3
mwaka elfu moja mia tisa sitini na tatu
3,456
3.456
common_voice_sw_36374737.mp3
Napenda amani
1,836
1.836
common_voice_sw_35105664.mp3
imeanza kuwahoji maofisa wa juu wa mashika ya mafuta ya shell na hagton
7,308
7.308
common_voice_sw_37214859.mp3
ezi ukaweka numbers sana kwenye hii kitu kwa sababu inategemea na priorities za nchi
5,940
5.94
common_voice_sw_36037887.mp3
Kufuatia mauaji hayo watu elfu moja walikamatwa na kuhojiwa
5,148
5.148
common_voice_sw_36365203.mp3
ulinzi umeimarishwa wakati huu wa kampeni ambapo wachunguzi wa mambo wanahisi
6,480
6.48
common_voice_sw_35206855.mp3
wanakadiriwa kuwa Waorthodoksi kati ya hao wengi hawashiriki kwenye ibada
6,516
6.516
common_voice_sw_28969891.mp3
Mfano wa kazi hizo ni kama ujenzi wa nyumba nakadhalika.
7,308
7.308
common_voice_sw_35102814.mp3
Mtaalamu huyo alihusianisha uchumi wa bluu na uchumi wa kijani
6,156
6.156
common_voice_sw_35106758.mp3
hakuna mtu anayeshikiliwa kuhusiana na tukio hilo
4,500
4.5
common_voice_sw_35166160.mp3
Tunisia ni nchi ndogo ya Kiarabu kutoka Afrika Kaskaizni
5,040
5.04
common_voice_sw_35272593.mp3
kulia wa Jair Jair Bolsonaro Kulingana na Reuters
4,788
4.788
common_voice_sw_37096366.mp3
linakadiriwa kuwa na waumini milioni karibu Mia tatu na kuathiri
4,788
4.788
common_voice_sw_29059654.mp3
Msingi wa biashara ni bandari.
3,708
3.708
common_voice_sw_35179256.mp3
moja tano saba nne saba utuambie
2,736
2.736
common_voice_sw_36038388.mp3
kulingana na ripoti hiyo baraza la usalama la umoja mataifa
4,176
4.176
common_voice_sw_29612726.mp3
Asili ya jina lao ni rangi yao.
4,248
4.248
common_voice_sw_28922039.mp3
Baada ya Yesu, ndiye mtu anayejulikana zaidi katika Injili zote nne.
5,688
5.688
common_voice_sw_36387364.mp3
ni sauti yake benerd kushina waziri wa mambo ya nje
5,760
5.76
common_voice_sw_35166368.mp3
Ni muhimu kuhifadhi miti na mimea muhimu
4,140
4.14
common_voice_sw_35284639.mp3
Alianza kazi ya usanii wa kujitegemea kunako mwaka wa
4,140
4.14
common_voice_sw_29572568.mp3
Alikwenda uhamishoni Kenya baada ya kuondolewa madarakani.
5,868
5.868
common_voice_sw_35113287.mp3
wazee wa miaka sabini wana style zao
4,068
4.068
common_voice_sw_35586752.mp3
tano wa maendeleo onaofanyika nchini humo mkutano iliodhaminiwa na shirika la umoja wa mataifa
7,848
7.848
common_voice_sw_35588791.mp3
meno ya plastiki Imani hiyo si ya pekee kwa Wamasai Vijijini Kenya katika kundi
7,020
7.02
common_voice_sw_36385574.mp3
Yeye anapenda raha sana
2,808
2.808
common_voice_sw_36385517.mp3
yao kama ilivyotokea kwa msanii Roma ambaye ametekwa na akaja kuachiwa katika mazingira ya
8,136
8.136
common_voice_sw_35108033.mp3
bo aliyeongoza kwa muongo mmoja sasa amepata aslimia thelathini na saba ya kura zote
8,640
8.64
common_voice_sw_35107965.mp3
kumbuka tu unaendelea kuitegea sikio idhaa ya kiswahili
4,968
4.968
common_voice_sw_35165709.mp3
Usitumie matusi.
3,816
3.816
common_voice_sw_35160865.mp3
ya Serengeti au makao makuu ya Shirika la hifadhi za Taifa Mjini Arusha
6,516
6.516
common_voice_sw_35165289.mp3
Nape alijipanga na kusoma stashahada ya pili mwaka elfu mbili na mbili hii ni
6,696
6.696
common_voice_sw_35183760.mp3
hatujaona ishara kwamba kwamba yeye yuko tayari
4,248
4.248
common_voice_sw_36382740.mp3
Kikii naye alijumuika na familia ya Kwanza Unit katika matamasha mbalimbali kuwapiga tafu
9,000
9
common_voice_sw_29665507.mp3
Shimo lilichimbwa kando ya kaburi.
3,168
3.168
common_voice_sw_35990027.mp3
Mnamo mwezi Novemba mwaka elfu moja mia tisa hamsini na sita
4,860
4.86
common_voice_sw_36032891.mp3
Juma wangu ameshinda tuzo kubwa sana.
3,276
3.276
common_voice_sw_36146754.mp3
familia ya mfanyakazi katika Ofisi ya Geodesy na masomo ya kutengeneza ramani Dickerson Naylor
7,740
7.74
common_voice_sw_36077337.mp3
tumeliambia baraza pamoja na nchi zote za wanachama wa umoja wa mataifa
6,588
6.588
common_voice_sw_36078369.mp3
titanic ilikuwa meli kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani
4,500
4.5
common_voice_sw_35105423.mp3
jambo mambo ambayo yangepaswa yaonekane pale
3,708
3.708
common_voice_sw_37097465.mp3
za ndani Ikiwa umechukua muda wa kuandaa
4,500
4.5
common_voice_sw_36032557.mp3
Hususani kutoka kwa wanawake ambao wameupitia kama vile wanawake wa kimasai mwanaharakati Agnes Pareiyo
8,928
8.928
common_voice_sw_35168073.mp3
nchi za nje Ni namna gani msitu wa Amazon unasaidia
5,796
5.796
common_voice_sw_29222765.mp3
Baada ya masomo alipewa nafasi ya kufundisha kwenye vyuo vya Tours na Paris.
7,308
7.308
common_voice_sw_36037173.mp3
hiyo mwaka elfu mbili na mbili akibobea katika masuala ya Sosholojia Fiziolojia na Siasa
5,868
5.868
common_voice_sw_35101764.mp3
Aliamua kusoma kwa undani mitazamo ya Karl Marx na
3,780
3.78
common_voice_sw_36035022.mp3
wao huikuta lugha ya kipijini ama lugha yao ya kwanza Inapofikia hatua ya aina
5,688
5.688
common_voice_sw_36035526.mp3
Ni haki kuhitimisha kuwa katika hali ambapo chama na serikali vinahudumia maslahi yao
6,120
6.12
common_voice_sw_35990233.mp3
Kwa mfano nchini Namibia Kiingereza ni lugha rasmi kufuatana na
5,328
5.328
common_voice_sw_35116000.mp3
kibinadamu Ukweli kwamba wameishi kwa muda mrefu
4,356
4.356
common_voice_sw_29241199.mp3
na timu ya taifa ya Italia.
2,880
2.88
common_voice_sw_36375366.mp3
waathirika wanapaswa kupata matibabu ya virusi vya ukimwi
4,140
4.14
common_voice_sw_36390714.mp3
miaka ya mwaka elfu moja mia nane tisini na moja
3,420
3.42
common_voice_sw_36041010.mp3
Juma ameniletea kitabu.
4,104
4.104
common_voice_sw_36644960.mp3
zake ni kama zifuatazo Kufundisha kwa kiswahili
4,320
4.32
common_voice_sw_35115312.mp3
baada ya kuigalagaza timu ya taifa ya brazil
4,248
4.248
common_voice_sw_35115492.mp3
fedha inayotolewa na benki kuu inatumika kwa malipo ya bidhaa
4,788
4.788
common_voice_sw_29655930.mp3
Wakati ule visiwa vilikuwa koloni ya Denmark.
3,996
3.996
common_voice_sw_38104720.mp3
Uhakiki ulifanyika mwezi Machi mwaka elfu mbili uliiweka Tanzania katika nafasi nzuri zaidi kuwa mwenyeji wa taasisi hiyo ikipewa asilimia themanini na sita
10,548
10.548
common_voice_sw_36331615.mp3
mwanadamu kwa kiburi chake aliamua kuunda meli isiyoweza kuzama
5,400
5.4
common_voice_sw_37092752.mp3
Kijana aliyekuwa akichezesha video alipingana na Jacob na kumwambia kulikuwa na wauaji wawili
6,948
6.948
common_voice_sw_36331632.mp3
ameachiliwa baada ya chama tawala nchini humo
3,600
3.6
common_voice_sw_36945652.mp3
bila hivyo
2,988
2.988
common_voice_sw_37094142.mp3
Tabia yako ni matokeo ya malezi yako
3,348
3.348
common_voice_sw_35411994.mp3
wakati wa safari yetu ya nchi hii Walakini wasomaji wetu wa kawaida
7,776
7.776
common_voice_sw_36365243.mp3
Wale vijana wa Hakizemana walioandaliwa walikuwa tayari wameshamueka Jacob mikononi mwao
8,676
8.676
common_voice_sw_36365425.mp3
wafanyakazi walitakiwa kuwasaidia abiria kupanda boti
5,256
5.256
common_voice_sw_35412159.mp3
Baadaye walikuja Washirazi na utawala wao wa kisultani
6,948
6.948
common_voice_sw_29142390.mp3
Ndani ya kipindi cha enzi ya barafu kuna ngazi mbalimbali.
5,040
5.04
common_voice_sw_36299902.mp3
kuandika historia ya kweli ya mapambano ya Afrika maneno yako yatabaki daima kama kishawishi
10,116
10.116
common_voice_sw_37084726.mp3
Hata hivyo serikali kadhaa huweka baadhi ya vikwazo au huchunguza
6,120
6.12