path
stringlengths
28
28
sentence
stringlengths
3
2.13k
duration[ms]
int64
1.19k
10.5k
duration_seconds
float64
1.19
10.5
common_voice_sw_35102459.mp3
Vitu vingine vya kuzingatia kuhusu ndoa za kimasai mwanamke huwa mdogo zaidi ya mumewe
6,840
6.84
common_voice_sw_35146666.mp3
waarabu walikuwa wageni wa kwanza kufika nchi za afrika mashariki
6,300
6.3
common_voice_sw_35164201.mp3
raia wa sudan kusini wanaendelea kutumia haki yao kikatiba
5,940
5.94
common_voice_sw_31996270.mp3
Mama anapasi nguo za mjomba
3,528
3.528
common_voice_sw_31997304.mp3
Kila anachokijaribu kinakuwa
3,240
3.24
common_voice_sw_31997727.mp3
Yakuhusu nini?
2,340
2.34
common_voice_sw_31997803.mp3
Kula kwa kiasi…Maneno yako ni ya kiasi
3,996
3.996
common_voice_sw_31997876.mp3
Ameir amefika darasani leo
3,420
3.42
common_voice_sw_37229876.mp3
Machapisho machache sana hasa ya Profesa Katoke na hadithi za wapelelezi
6,408
6.408
common_voice_sw_37229944.mp3
binadamu na kumbadilisha hisia ni dawa za kulevya
4,860
4.86
common_voice_sw_36389742.mp3
Alivaa shanga kwenye shingo
2,340
2.34
common_voice_sw_36032776.mp3
rais obama ameongeza kuwa marekani na brazil
4,608
4.608
common_voice_sw_28856163.mp3
Wakati wa utawala wa Adolf Hitler alihamia Marekani.
6,660
6.66
common_voice_sw_36038544.mp3
Leo ni siku ya harusi
2,916
2.916
common_voice_sw_37094995.mp3
Na kuimba kwa muda wa dakika ishirini na tano
3,348
3.348
common_voice_sw_37096129.mp3
Seneta Obama pamoja na Wangari Maathai huko Nairobi mwaka elfu mbili na sita
7,020
7.02
common_voice_sw_35177113.mp3
Mto wa Kiberenge.
1,908
1.908
common_voice_sw_37229624.mp3
mkurugenzi wa Taasisi ya Uchunguzi Dzhona Edgara HooverAlipochukua madaraka shirika inaajiri wafanyakazi kuhusu
9,360
9.36
common_voice_sw_31997942.mp3
Tunaweza sema pia nipe baki yangu
3,528
3.528
common_voice_sw_31997422.mp3
Tangu forodhani kufungwe hakuna tena uvuvi wa haja Mombasa
5,616
5.616
common_voice_sw_31997472.mp3
Jua linaangaza vizuri
3,276
3.276
common_voice_sw_35105432.mp3
Watazame mayatima, kwao kumekua wa duni
4,860
4.86
common_voice_sw_29714138.mp3
Hutaga mayai matatu hadi sita ardhini katikati ya manyasi mafupi.
7,056
7.056
common_voice_sw_35103255.mp3
idadi kubwa ya abiria wa daraja la kwanza walikufa
4,140
4.14
common_voice_sw_35164601.mp3
Simba alinguruma kijijini
3,780
3.78
common_voice_sw_29529153.mp3
Alizaliwa katika Wilaya ya Nandi Kusini nchini Kenya.
3,600
3.6
common_voice_sw_29624439.mp3
Upo kwenye kanda ya Mediteranea kusini mwa Uturuki.
5,076
5.076
common_voice_sw_36388367.mp3
watu elfu sabini wakawa wakimbizi wa ndani
2,556
2.556
common_voice_sw_36390335.mp3
Mke mwenza amekasirika.
1,548
1.548
common_voice_sw_36390428.mp3
kuliko ilivyo sasa ikiwa sehemu ya Kigoma
2,808
2.808
common_voice_sw_29519032.mp3
Chakula cha asili, kama ilivyo kwa mkoa wote wa Kagera, ni ndizi.
6,768
6.768
common_voice_sw_36375314.mp3
Matamasha ni mengi leo
2,376
2.376
common_voice_sw_29714100.mp3
Kutazama nyota vile kulikuwa msaada wa kupanga vipindi vya mwaka na kuunda kalenda.
6,156
6.156
common_voice_sw_37101117.mp3
cote devoire hiyo ni katika mechi za kimataifa za kirafiki zitakazopigwa hii leo
7,416
7.416
common_voice_sw_31996421.mp3
Punguzaga yao maji kidogo.
3,708
3.708
common_voice_sw_31996650.mp3
Wanasiasa wako wanacheka kwa Pamoja.
3,708
3.708
common_voice_sw_31909906.mp3
Kiuno kama bunzi
2,700
2.7
common_voice_sw_29609982.mp3
Hasa watu kwenye visiwa vingi vya Pasifiki wana utamaduni wa karibu.
7,020
7.02
common_voice_sw_35437499.mp3
za watu hao zilichochea waumini wenzao pia kuwa waaminifu katika
5,616
5.616
common_voice_sw_29466731.mp3
Iraq ina akiba kubwa za mafuta ya petroli ardhini.
6,480
6.48
common_voice_sw_37095889.mp3
na mkahawa wa ethiopia hapo kavalakala ambapo zaidi ya watu sabini na sita waliwawa
9,072
9.072
common_voice_sw_37099455.mp3
Watumwa walifikishwa eneo hilo la mkunazini
3,528
3.528
common_voice_sw_37215818.mp3
kula nyama zao na kuhifadhi nyama za watu kwenye majokofu
4,716
4.716
common_voice_sw_37218493.mp3
vikosi vya usalama nchini bahrain hapo jana viliwashambulia waandamanaji mjini manama
7,020
7.02
common_voice_sw_36375921.mp3
Sultani wa pili wa Zanzibar Sayyid Baraghash alijitahidi kujenga uhusiano na nchi za nje
5,256
5.256
common_voice_sw_36331553.mp3
nchini burundi kilio kiko juu
2,808
2.808
common_voice_sw_36255102.mp3
aa tukaenda kushiriki kule rio de janero brazil fainali za kombe la dunia na
5,400
5.4
common_voice_sw_28837878.mp3
Ofisi za kale zilikuwa sehemu ya jumba au hekalu kubwa.
4,896
4.896
common_voice_sw_29513097.mp3
Kwa sababu hiyo anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu mfiadini.
5,688
5.688
common_voice_sw_37225214.mp3
wakijua hasa nini ulikuwa muktadha wake katika mila na desturi za Kiafrika
7,488
7.488
common_voice_sw_37223866.mp3
unafwatilia hata viombo vya habari hapa kenya
2,196
2.196
common_voice_sw_35104209.mp3
ndiyo mimi ni mteja nataka niongee na dada mmoja hapa labda nianze na wewe
5,508
5.508
common_voice_sw_36376044.mp3
ufanyi hasara pia aa ambao kwanza kabisa
2,736
2.736
common_voice_sw_36373583.mp3
mgonjwa wa ukimwi anaweza kupatwa na dalili ya kichefuchefu
5,040
5.04
common_voice_sw_36373567.mp3
aa hatujawahi kuzoea kuona
2,628
2.628
common_voice_sw_35408216.mp3
spika wa bunge sharif hassan sheikh hadan
3,528
3.528
common_voice_sw_35442259.mp3
Wala si hao tu ninaowaombea lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao
7,128
7.128
common_voice_sw_29231041.mp3
Jimbo hili lina mchanganyiko wa makabila yote.
4,320
4.32
common_voice_sw_35409316.mp3
malaria inaweza kusababisha ukuaji na maendeleo duni kwa watoto
5,616
5.616
common_voice_sw_35152543.mp3
wakisafiri kuelekea kalbala na kuua watu saba
4,680
4.68
common_voice_sw_37093619.mp3
qua hili linajinadi na kichwa cha habari
4,608
4.608
common_voice_sw_29752368.mp3
Magonjwa hayo hutokea mara nyingi.
3,600
3.6
common_voice_sw_35104133.mp3
la Utangazaji la Taifa halijaishia hapo tu limekwenda mbali zaidi na hivi sasa linaweza
6,876
6.876
common_voice_sw_35103631.mp3
fit katika muundo wa makala moja lakini unapaswa dhahiri kuzungumzia uhusiano na waashi John
7,488
7.488
common_voice_sw_35103537.mp3
Historia yake yote iliona tena na tena vipindi vya njaa
4,536
4.536
common_voice_sw_34939948.mp3
Seyyid Barghash alitumia fedha nyingi kwa maendeleo ya usultan wake
5,616
5.616
common_voice_sw_36384068.mp3
haiwezekani kushinda Mithili ya Michael Scofied wa mapumziko ya sumu Ruge alisikika kwenye Clouds
7,668
7.668
common_voice_sw_35102354.mp3
ya desturi Kunyongwa kisheria hakujulikani na malipo ya kawaida kwa ngombe hutosheleza mambo Kuna
7,848
7.848
common_voice_sw_35106552.mp3
vilevile katika nchi ya Cameroon ambako maiti wanapigwa matiti
5,076
5.076
common_voice_sw_35155321.mp3
inabidi utumie vizuri rasilimali ulizokuwa nazo
4,788
4.788
common_voice_sw_35154700.mp3
mana ya henry oka mtuhumiwa wa mulipuko wa mabomu nchini nigeria kusikilizwa ijumaa
9,000
9
common_voice_sw_36385963.mp3
inaratibu mifumo ya malipo katika ngazi ya kitaifa kikanda na kimataifa
6,984
6.984
common_voice_sw_35165071.mp3
Bila shaka Antony alikuwa na uwezo wa kuzungumza na marafiki wachache
5,976
5.976
common_voice_sw_35099566.mp3
Kichwa huelekezwa nyuma kwa ajili ya kuvuta pumzi
4,140
4.14
common_voice_sw_35105504.mp3
wakati mwingine hata kushiriki mti huo Mojawapo
4,248
4.248
common_voice_sw_29686123.mp3
Kwa sababu ya hii spishi kadhaa huitwa mpira pia.
6,588
6.588
common_voice_sw_35166283.mp3
za shughuli za mara kwa mara naleteya taarifa
5,076
5.076
common_voice_sw_35166195.mp3
Ikiwa Waturuki watakualika mahali pao kwa chakula cha
5,868
5.868
common_voice_sw_36389396.mp3
naam imetimia saa mbili na dakika thelathini na tatu kwa saa za afrika mashariki
4,536
4.536
common_voice_sw_36389264.mp3
Sukari imemwagika.
1,656
1.656
common_voice_sw_30009327.mp3
magofu ya kilwa yapo katika mkoa wa lindi kunako pwani ya tanzania
7,416
7.416
common_voice_sw_36385454.mp3
Mombasa tarehe kumi na nane mwezi wa nane mwaka elfu moja mia tisa sabini
5,256
5.256
common_voice_sw_29762247.mp3
Iko katika upande wa mashariki mwa Mlima Kenya.
4,176
4.176
common_voice_sw_35160838.mp3
ya kudumuKila kukicha ni safari tena kuelekea kusikojulikana
6,120
6.12
common_voice_sw_37096501.mp3
Kimataifa Rege inahusishwa sana na Jamaica alisema waziri wa utamaduni wa Jamaica Olive Grange
8,460
8.46
common_voice_sw_35123992.mp3
wa sita mwaka elfu moja mia tisa sitini na Patrice Lumumba anapata cheo cha
7,128
7.128
common_voice_sw_36615178.mp3
ule wimbo wa kusema ana macho mekundu mleteni hapa ale mapangaMauji ya albino
6,696
6.696
common_voice_sw_35425630.mp3
redio ya taifa ilianzishwa mwaka elfu moja mia tisa sabini
4,716
4.716
common_voice_sw_35114665.mp3
nane sitini na tano na Lukwele wa Pili yaani Salum Lukwele Mdimangombe Mwanamsumi mwaka
8,496
8.496
common_voice_sw_35179027.mp3
Kidude hicho ni chake.
2,196
2.196
common_voice_sw_29624624.mp3
Yeye ni chaguo la kwanza la mchezaji wa kati katika safu ya ulinzi.
9,828
9.828
common_voice_sw_29613953.mp3
Imepakana na North Carolina, Georgia na Bahari ya Atlantiki.
7,596
7.596
common_voice_sw_29769505.mp3
Kuna makazi ya mjini na makazi ya vijijini.
3,996
3.996
common_voice_sw_36616450.mp3
wakati uleule maswala ya kijamii kimazingira na kiuchumi
5,220
5.22
common_voice_sw_28962939.mp3
Mahakama ina kazi ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria kwa watu wote.
6,660
6.66
common_voice_sw_35178192.mp3
kwa kuyaunga mkono mazoezi ya kuonesha nguvu
4,428
4.428
common_voice_sw_35178688.mp3
rasmi katika jeshi la nchi Vikundi vingi vilipokea ofa
4,320
4.32
common_voice_sw_37086134.mp3
elfu mbili na saba hangeweza kujulikana Hii ni kwa sababu wizi wa kura ulifanyika
7,992
7.992
common_voice_sw_36146176.mp3
ya mawimbi kadhaa ya uhamisho ambayo Waturuki
4,464
4.464
common_voice_sw_37086779.mp3
ni kielelezo cha ineffiency tu yaani kwamba ile
4,716
4.716